Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

whatever..........tukutane kweny ballot -box hapo october
 
At this point this is premature and speculative. Time will tell.
 
acha uongo lowasa akipitishwa na ccm huo ndio utakuwa mwisho wake MTU mwilimzm umezunngukwa na kinyesi mnalazimisha anukie kwa perfume. nonsense
 
Tumeshakuwa sugu hakuna maumivu tena wa shida za kijamii zinazotukabili ndio maana bado kunawatu wana iamini CCM.
 
Msuya Lowassa afukuzwe tu aende CHADEMA potelea mbali
Makonda Lowassa hawezi kuwa mkuu majeshi
Viongozi wa dini msichague mtu anaenunua uongozi
Kingunge CCM hamna msafi

Sasa tushike lipi mbona CCM mnatuchanganya?
 
Kwa hiyo kikao cha zanzibar in kwa ajili ya kupitisha mgombea wa urais? mbona hawakuweka hadharani ili tuchukue fomu au siku hizi magamba yanachagua mgombea kimyakimya? watakuwa wameiga kwa mzee wa "wapigwe tu...tumechoka!"
 
Mtoa mada ni Mpiga debe wa Lowasa.

Huwa sio mshabiki wa mwanasiasa au chama cha siasa chochote, lakini huwa nafuatilia siasa na vyama vya siasa. Hakika, mambo uliyoandika ni uwongo na kusadikika zaidi, kwani SIO SIRI kuwa "HAKUNA MWANA-CCM" yeyote anayeweza kutamka maneno makali uliyoandika wewe hapa; zaidi, eti maneno hayo ametamka ndani ya kikao cha CCM...wadanganye wengine but not all of us.
 
acha uongo lowasa akipitishwa na ccm huo ndio utakuwa mwisho wake MTU mwilimzm umezunngukwa na kinyesi mnalazimisha anukie kwa perfume. nonsense
Hats Kenya walisema hivyo kwa Uhuru lakinibleo in Mkuu wa nchi,hats wabaya wa Zuma walisema. Hivyo lakini Anaiongoza South Africa
 
,;..:.........loading.............!!mungu ame karibia kusikia sala zangu..!na anza kuona tz ni ipemdayo iyo na mafisadi..!eeehee kaisari tufungulie baraba tu msulubishe pamoja na ccm.
 
Wakati mawakala wa Lowasa kama Absalom Kibanda na Saed Kubenea wakisema kuwa CC ya CCM inapanga kumchukulia hatua kali kutokana na ukaidi wake, wewe unasema kuwa anataka kuteuliwa kugombea? Hakika huu ni upuuzi uliopitiliza
 
Mkuu, hawa ndio vijana wanaopumua kwa fedha za mafisadi
 
mafisadi mwaka huu watawanunua wote nyie hasa wenye roho za tamaa na uchu wa pesa kama wewe mleta mada kwanza tuambie wewe ulipewa kiasi gani toka kwa hao mafisadi.
 
Hakika kwa mtu unayejua siasa za tanzania ukisoma tu utajua kuwa mleta mada ni walewale wafuasi wa lowasa na mafisadi wao.
 
Sawa hapa nafikiri lowasa ndio hasa Habari kuu na mpaka ss bado hajaonekana mtu wa kumpinga kutokea upande wowote
 
Msuya Lowassa afukuzwe tu aende CHADEMA potelea mbali
Makonda Lowassa hawezi kuwa mkuu majeshi
Viongozi wa dini msichague mtu anaenunua uongozi
Kingunge CCM hamna msafi

Sasa tushike lipi mbona CCM mnatuchanganya?

Hapo kwenye nyekundu kingunge kasema kuwa wale ambao wameshaanza kuonesha nia ya kugombea hakuna anayefaa,lakini kumbuka ndani ya ccm ipo hazina kubwa sana ya viongozi hata mimi naamini hawa walionza kuutafuta urais mapema hakuna atakayepitishwa atakuja mwingine kabisa nje ya hawa wenye viherehere.
 
Sawa hapa nafikiri lowasa ndio hasa Habari kuu na mpaka ss bado hajaonekana mtu wa kumpinga kutokea upande wowote
Una maana gani unaposema kuwa hajatokea mtu wa kumpinga kutoka upande wowote?
 
Sawa hapa nafikiri lowasa ndio hasa Habari kuu na mpaka ss bado hajaonekana mtu wa kumpinga kutokea upande wowote

mimi nampinga na wale wote wasio mafisadi wanampinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…