Kwa Laki 5 naweza nikafungua Maabara?

Kwa Laki 5 naweza nikafungua Maabara?

Wakuu nataka nifungue maabara ndogo.

Elewa hapo ndogo! Ila nina mtaji wa laki tano je unatosha kufungua Maabara ndogo ya kuanzia nikipata hela nitakuwa naongezea vitu!

Wataalam wa Afya nawaomba hapa!
hiyo laki tano haitoshi hata kwa garama za process za kuisajili lab
 
Ukikua kibiashara(not now) tuwasiliane, kuna portable device ukiwa nayo you'll make money. Inapima more than 100 diseases from gastrointestinal, hormonal to thyroid.. etc
Naitaka hii naomba tuwasiliane
 
Ukikua kibiashara(not now) tuwasiliane, kuna portable device ukiwa nayo you'll make money. Inapima more than 100 diseases from gastrointestinal, hormonal to thyroid.. etc
Mkuu naomba jina la portable device. Hata kwa Pm its okly
 
Back
Top Bottom