Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,406
- 79,652
Wanaowapiga wake zao ni waoga na hawajiamini. Hawana tofauti na waliomuua Aquilina .ivi mnawezaje kupigana still baadae mkalala chumba kimoja
aisee hii kitu siiwezi
Sent using Jamii Forums mobile app