Kwa kuzingatia,historia,dhana,hadhi,mamlaka ya Bunge dhidi ya CAG, Spika yupo sahihi

njundelekajo

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
310
227
.

KWA KUZINGATIA,HISTORIA,DHANA,HADHI,MAMLAKA YA BUNGE DHIDI YA C.A.G,SPIKA YUPO SAHIHI.

Wiki hii spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai aliitisha mkutano wa waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma na kumtaka Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Profesa Asaad na Mbunge wa Kawe(Chadema) Halima Mdee kufika mbele ya kamati ya maadili,kinga,haki na madaraka ya bunge .

Profesa Asaad anatakiwa kufika mbele ya kamati hiyo Januari 21 mwaka huu huku Mdee akitakiwa kufika Januari 22 kwa ajili ya kuhojiwa kuhusu madai ya kulidhalilisha Bunge aliyoyatoa hivi karibuni wakati akihojiwa na idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa na mtangazaji Anord Kayanda kuhusu ukaguzi unaofanywa na ofisi yake .

Kwakua uamuzi huu wa Spika dhidi ya kilichozungumwza na Mkaguzi mkuu wa Serikali umezua mjadala mkubwa hapa nchini ni vyema tukaingia kwenye mjadala huo kwa kizifahamu kinagaubaga taaisisi hizi mbili kihistoria,nguvu ya kimamlaka na mipaka yake ili tuwe kwenye nafasi nzuri ya kutoa maoni katika mjadala huo na kufika kwenye hitimisho lisilo na mawaa.

BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANGANO WA TANZANIA.

Kihistoria Bunge hili lilianza mwaka 1926 kwa kuzinduliwa rasmi Desemba 7mwaka huo.Wakati wa ukolono na kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bunge hilo lilijulikana kama baraza la kutunga sheria.

Wakat huo mwenyekiti wake alikua Gavana wa serikali ya Tanganyika Sir Donald Cameroun huku likiundwa na wanachama 20 wote wakiteuliwa na Gavana.

Mabadiliko ya mwaka 1953 yaliiondoa nafasi ya Gavana kwenye bunge hilo kama mwenyekiti na badala yake ikaanzishwa nafasi ya Spika.Mwaka 1958 bunge hio la kikoloni likaanza kupokea wanachama wa chache wa kuchaguliwa na wananchi kabla ya kufanyiwa mabadiliko mengine mwaka 1960 yaliyobadilisha jina la taasisi hiyo na kua Bunge toka baraza la kutunga sheria.

Muhimi huu umewahi kua na viongozi mbalimbali walioiongoza taasisi hilo wakifika jumla ya viongozi 8 mpaka sasa huku Adam Sapi Mkwawa akiwa Spika aliyehudumu kwa muda mrefu zadi kuliko spika yoyoye baada ya kutumikia nafasi hiyo kwa miaka 19 kwa vipindi tofauti tofauti.

Wengine walioongoza taasisi tangu kipindi cha ukoloni ni Brigedia Sir William Seaphan miaka 5(1963-1958),Sir Barclay Nihil aliyeongoza kwa miezi 7 tu(Mei 1,1958 mpaka Desemba 31,1958,A.Y.A Karimjee miaka 6(1956-1972),Erasto A.M Mang'enya miaka 2(1973-1975),Pius Msekwa miaka 11(1994-2005),SamweliAnne Sitta miaka 5(2005-2010), Makinda miaka 5(2010-2015) ambaye ni mwanamke pekee kuwahi kuongoza taasisi hiyo akifuatiwa na Spika wa sasa Job Ndugai mwenye miaka minne mpaka sasa baada ya kuchukua nafasi hiyo Novemba 17,2015.

MAMLAKA ,MUUNDO NA MAJUKUMU YA BUNGE .

Kuanzia ibara ya 62 mpaka 64 zinazungumzia muundo,mamlaka ya bunge na majukumu lakini pia zipo ibara nyingine za katiba zinazoeleza nguvu ya bunge ikiwemo ibara ya 46(2)inayoipa madaraka kumuondoa rais madarakani.

Lakini ibara ya 61(1) inamtaja rais kama sehemu mojawapo ya bunge kati ya sehemu mbili zinazounda bunge nyingine ikiwa ni wabunge ambayo katika ibara ya 63(2)ya bunge sehemu hii ya bunge ndio chombo kinachowakilisha wananchi.

MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI"C.A.G"

Kihistoria taasisi hii imekuwapo tangu enzi za ukoloni.Wakati wa utawala wa mwingereza ilijulikana kama idara ya ukaguzi na ilikua ikiripoti kwa gavana.

Wakati huo ilikua na madaraja matatu.Ajira ya mafao ya Ulaya ngazi ya maafisa(European pension scheme- officers rank),Ajira ya ya mafao ya Asia ngazi ya ukaguzi wa hesabu(Asian Pension Scheme) na daraja la tatu lilikua ni Ajira ya mafao ya Afrika ngazi ya makarani na ukaguzi (Audit Clerk's).

Jina la mkuu wa taasisi hiyo linalotumika sasa(Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (CAG) lilianza kutumika rasm mwaka 1961 baada ya kuanzishwa kwa sheria ya fedha na ukaguzi ya mwaka 1961(Exchequer and Audit ordinance 1961),kabla ya hapo jina lililokua likitumika ni mkurugenzi wa ukaguzi(Director of Audit).

C.A.G aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi ni Bw Mohamed Aboud aliyekaa kwa kipindi cha miaka 27(1969-1996),Wengine ni R.W.A Mc Coll miaka 4(1961-1974),Mr Gordon A.Hutchson miaka 5(1964-1969),Bw Thomas Kiama miaka 9(1996-2005), Bw.Ludovick Utoh miaka 8 (2006-2014) huku CAG wa sasa akiwa na miaka 5 kwenye nafasi hiyo baada ya kuteuliwa mwaka 2014.

MAJUKUMU YA OFISI YA MKAGUZI NA MDHIBITI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI_CAG.

Majukumu ya CAG yameainishwa kwenye katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara ya 143.Baadhi ya majukumu hayo ni pamoja na kufanya ukaguzi wa hesabu za serikali na kutoa riporti angalau mara moja kwa mwaka.

Mkaguzi mkuu wa serikali hukagua taarifa ya fedha iliyowasilishwa na watendaji wa serikali na kukabidhi taarifa yake kwa rais ambaye huikabidhi bungeni ripoti hiyo.

Kinga ya CAG inapatikana kwenye katiba ibara ya 143(6) inayosomeka "Katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (2),(3) na (4) ya ibara hii,Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali hatalazimika kufuata amri au maagizo ya mtu ya mtu mwingine yeyote au idara yoyote ya serikali.Hata hivyo mahakama imepewa nguvu hiyo katika ibara ndogo ya 143 ya kuchunguza kazi za taasisi hiyo kama imetekeleza majukumu yake kwa mujibu ya masharti ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Ofisi hiyo inayofuata mfumo wa uwajibikaji wa "WESTMINSTER" kutoka uingereza ambao unaonesha mahusiano kati ya bunge ,ofisi ya taifa ya mkaguzi na watendaji kwa maana ya maafisa mbalimbali wa serikali.

NANI YUPO SAHIHI?

Kwa maelezo hayo juu ya misingi, muundo ,historia ,katiba na dhana ni wazi bunge hadhi ya Bunge ni sawa sawa na Mahakama na Serikali tu na sio ofisi ya mkaguzi mkuu wa seriakali.,Lakini pia kwa mujibu wa sheria ya ukaguzi ya hesabu za umma ya mwaka 2008 kifungu cha 10,CAG anafanya kazi ya ukaguzi kwa niaba ya Bunge.

Kwa lugha rahisi C.A.G ni sehemu ya Bunge .Kama kiongozi wa mhimili huo wa Bunge ni Job Ndugai ni wakati gani anakua hana uwezo wa kumhoji C.A.G?

Hoja kwamba C.A.G hana mipaka si sahihi kwa sababu kwa mujibu wa sheria ya ukaguzi wa umma Na 11ya mwaka 2008 kifungu 46(1) hadi (6)cha sheria ya ukaguzi inatoa utaratibu wa kumpata mkaguzi wa atakayekagua hesabu za ofisi ya taifa ya ukaguzi wa hesabu za seriakali.

Mkaguzi huyo atachaguliwa na kamati ya ya hesabu za serikali kuu(PAC) kutoka kwenye makampuni ya binafsi ya ukaguzi (Private Audit Firms) yanayotambuliwa na ofisi ya Taifa ya wahasibu na wakaguzi (NBAA).

Sasa kama kipo chombo kinachoundwa na bunge chenye uwezo wa kumkagua C.A.G uhuru wake usio na mwisho upo wapi?

Kidhana ,kwakua bunge ndio wananchi na kwakua rais ni sehemu ya bunge ni wazi nguvu ya bunge kimajukumu na mamlka inazidi majukumu ya makaguzi mkuu wa serikali hasa katika nchi za demokrasia zenye kutambua nguvu ya wananchi kama moja wapo ya mfumo huo.Katika dhana hii pia Spika Ndugai yupo sahihi .

Ingawa inaweza kuonekana mkaguzi mkuu wa serikali alitumia uhuru wake wa kutoa maoni kama unavyoelezwa kwenye katiba ibara ya 18(1),madhali maoni hayo ameyasema nje ya nchi ,imeondoa taswira ya kua ni maoni yake binafsi na tafsiri ya haraka imeondoa kua maoni binafsi na kua maoni ya taasisi yake kitu ambacho si sahihi kwa kuzingatia mipaka na mgawanyo wa ufanyaji kazi kwa taasisi hizo mbili.

.NA NOEL NGUZO.

Hoja ya kosa la Spika kuonekana kwakua amemuita kupitia waandishi wa habari inakosa mashiko kwa sababu C.A.G alizungumza kupitia chombo cha habari na kwa kasi ya usambaaji wa alichokisema bunge lilipaswa kujitetea kupitia vyombo vya habari ili kuweza kuyeyusha kilichosemwa na mkaguzi mkuu wa serikali.Bado Spika Ndugai yupo sahihi

Lakini nyakati tulizonazo zinampa uhalali mwingine Spika Ndugai wa usahihi wa uamuzi wake hasa katika kipindi hiki nchi inapopitia kwenye msuko suko wa vita vya kiuchumi vilivyofunikwa katika mwamvuli wa Demokrasia na tuhuma kwa taasisi mbalimbali ikiwemo bunge.

Hivyo kauli za viongozi wa aina ya mkaguzi mkuu zinapotolewa hasa na vyombo vya kimagharibi hukuzwa na kutumika kama marejeo ya hatua mbalimbali za kuzibana nchi zetu ili kupenyeza agenda za I
kimagharibi.Bunge kama taasisi lilikua sahihi kujitetea lenyewe kupitia Spika wake na kuitetea nchi kuonesha hatua zinachukuliwa dhidi ya fe
dha zinazopotea

Noel Nguzo.R.
 
  • Thanks
Reactions: UCD

Maelezo mazuri sana!! Very informative thread!
 
SWOT analysis (or SWOT matrix) is a strategic planning technique used to help a person or organization identify strengths, weaknesses, opportunities, and threats related to business competition or project planning.[1] It is intended to specify the objectives of the business venture or project and identify the internal and external factors that are favorable and unfavorable to achieving those objectives. Users of a SWOT analysis often ask and answer questions to generate meaningful information for each category to make the tool useful and identify their competitive advantage. SWOT has been described as the tried-and-true tool of strategic analysis.[2]

Strengths and weakness are frequently internally-related, while opportunities and threats commonly focus on the external environment. The name is an acronym for the four parameters the technique examines:

  • Strengths: characteristics of the business or project that give it an advantage over others.
  • Weaknesses: characteristics of the business that place the business or project at a disadvantage relative to others.
  • Opportunities: elements in the environment that the business or project could exploit to its advantage.
  • Threats: elements in the environment that could cause trouble for the business or project.
The degree to which the internal environment of the firm matches with the external environment is expressed by the concept of strategic fit. Identification of SWOTs is important because they can inform later steps in planning to achieve the objective. First, decision-makers should consider whether the objective is attainable, given the SWOTs. If the objective is not attainable, they must select a different objective and repeat the process.
 
Nimemkumbuka mzee Mohamed Aboud, enzi zile za mwalimu Nyerere, mzee mmoja wa kizanzibari akiishi pale karibu na Makumbusho kama unaelekea ocean road ukiwa unatokea shule ya msingi bunge.
 
Tuache kuwa wanafki CAG anakagua fedha ambazo ni mali ya wananchi .
Na ni kweli kwamba CAG anagundua madudu mengi yanayifanywa na taasisi za umma.
Na ni kweli kwamba Bunge ndio linalotakiwa kuisimamia serikali pamoja na kuiwajibisha kwenye matumizi mabaya ya fedha za umma.
Na ni kweli kwamba bunge limeshindwa kuchukua hatua kwenye ubadhirifu mbalimbali unaogunduliwa na CAG.
Na ni kweli kwamba katiba inampa kila raia uhuru wa kutoa maoni yake.
Na ni kweli kwamba katiba aimpi mtu mipaka ya kutoa maoni yake kwamba eti mtanzania anatakiwa kutoa maoni yake ndani ya nchi tu , huu upumbavu sijui umetoka wapi eti CAG ametoa maoni nje ya nchi.
Kimsingi CAG ameongea kwa maslai mapana ya nchi hususani kuhusu usimamizi wa raslimali za taifa kwa mujibu wa katiba.
Wote wanaomtetea spika ni wapotofu aidha ni sehemu ya ufisadi unaofanywa na serikali.
Jamani tuache unafki lets call a spade a spade and not a spoon .
spika amepotoka CAG anatakiwa awe very autonomy ili afanye kazi yake kiukamilifu tuache kutetea ufisadi
 
Back
Top Bottom