Kwa kuwa msimamo wa mkutano mkuu wa chadema ni KUZUIA uchaguzi usifanyike, kwa nini Mnyika amekiuka kwa KUSUSIA uchaguzi kwa kutosaini maadili?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,725
Reaction score
31,305
Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya hivyo, sasa wanataka kuuzuia katika hatua gani?

Alichofanya leo Mnyika ni kususia. Amefanya hivyo kwa maelekezo ya kikao gani cha chama? Chama kimeelekeza akazuie, yeye hajazuia, kaacha kabisaa kwenda, huko ndio kuzuia?

Hii slogan tunaielewa kweli wanachadema wenzangu?
 
Hii ni thread ya 3500 kwa leo ya kumlaumu Mnyika na CDM kutoka kwa wanaCCM ambao ilitakiwa wafurahie kwa hili tukio ila inaonekana ni lawama tu.
 
Maccm bhana😎mnatakiwa mshangilie sasa mpinzani wa kweli hajasaini nyie kutwa kuandika nyuzi za kusikitika tu...mna hofu ya nini?
Nyoka bado anatikisa mkia, tunaendelea kupiga
 
Kwa akili ya kawaida,huna haja ya kwenda kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi huku ukijua fika hakuna uchaguzi.
Ukifanya hivyo ukimaliza upande basi ujipeleke mirembe.
 
Hatujakubalina hivyo
 
Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya hivyo, sasa wanataka kuuzuia katika hatua gani?

Alichofanya leo Mnyika ni kususia. Amefanya hivyo kwa maelekezo ya kikao gani cha chama? Chama kimeelekeza akazuie, yeye hajazuia, kaacha kabisaa kwenda, huko ndio kuzuia?

Hii slogan tunaielewa kweli wanachadema wenzangu?
Wameamua kuuwa chama kwa kuwachezea karata tatu wanachama wao
 
Hii ni thread ya 3500 kwa leo ya kumlaumu Mnyika na CDM kutoka kwa wanaCCM ambao ilitakiwa wafurahie kwa hili tukio ila inaonekana ni lawama tu.
Ukiona unalaumiwa na wengi ujue unashida kichwani
 
Wewe nae umekuwa tahira/shoga mwenye nyege za kisengelema!! Unaandika upumbavu KILA dakika kama una nyege na chadema njoo tukutoe.
 
Sisiemu na mama mmeshahinda kwa 100% bado mnatoa lectures kwa mpinzani aliyepo jela? Yani unamfundisha namna ya kukushinda? Kweli wachawi wapo katieni matokeo porini mambo yaishe tuendelee na mengine, tupeni episode mpya ya manyara na zailiza preese!
 
Back
Top Bottom