Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,904
- 2,580
- Thread starter
- #41
Lakini akihamia chadema atapokelewa kwa shangweNi muuza unga sugu na boss zake na Mchepuko wake ni CCM wote.

jiandae kudaiwa advance uliyopewa na Makonda uje kumtetea JF, njia uliyotumia kupenyeza Utetezi juu ya makonda imejaa mashimo Utetezi wako hautapita kamwe, jiandae kukosa balance na kudaiwa advance uliyopewa.Wakulaumiwa ni muuza ngada Mbowe
Mbona kila nikirudia na kurudia ulichoandika sioni neno VYETI, au umehongwa?Chama chenye Maadili Viongozi wake wote wanamadili ya wizi wa Raslimali za Taifa.Uzwaaji wa ardhi ya Taifa kwa kujipatia 10%,Barabara zisizo na kiwango,Mabasi ya Mwendokasi yasiyo na ubora,Kivuko kibovu bilioni nane zikapoyea,bado zile nyumba mlizowapa wakwe,nyumba ndogo ,ndugu,jamaa na marafiki.
Kuna Escrow, Richmond, Epa,IPTL duh Mabehewa hewa ,madrug lord na watakatishaji wa fedha wadau wenu wakiwa GSM.
Ni bora kukaa kimya maana ndoana ya mvuvi haitakugusa.Majangili wakubwa nyie.In actual fact anaitwa Chama Cha Majangili.
Masogange hata akija Chadema hapokelewi kwanza watu watajua ni mamluki kwani Mchepuko wa Makonda lazima utapeleka taarifa zote.Lakini akihamia chadema atapokelewa kwa shangwe
.......nani aliyethibitsha tuhuma zao au wewe umegeuka kuwa mahakama?Kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inahitaji chama cha upinzani chenye maadili na miiko ya kimaadili ili kuisimamia na kuikosoa inapokosea serikali, nawashauri watanzania twendeni na Act wazalendo.
Chadema sasa hivi imekengeuka kimaadili, inatetea wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi. Kwa hiyo chadema ya leo haina moral authority ya kuikosoa serikali wala kuishauri.
Hivyo basi watanzania wenye kupenda nchi yao lazima tujenge chama kingine chenye nguvu mbadala wa ccm, tunachoweza kukikabidhi nchi na kila mtu akawa na imani kwamba nchi ipo kwenye mikono salama.
Chadema hii inayotetea kila aina ya uchafu na kimbilio la mafisadi na wauza madawa ya kulevya, haiwezi kuwa chama salama cha kukabidhi nchi yetu.
Kuwakabidhi nchi chadema, ni sawa na kuwapa nchi mafisadi, wauza madawa ya kulevya, majizi na wakwepa kodi.
Chadema ya leo haina kanuni taratibu wala miiko ya chama, hivyo haifai kukabidhiwa nchi.
Twendeni na Act wazalendo angalau kina miiko na azimio la Tabora.
Ajenda iliyopo mezani ni vyeti vya Bashite, hakuna wakututowa kwenye hoja hii mpaka ang'oke.Lakini akihamia chadema atapokelewa kwa shangwe
Mbona kila nikirudia na kurudia ulichoandika sioni neno VYETI, au umehongwa?
Wewe dada una mapepo, umetoka lini ccmafisadi aka ccmajambazi Leo udai uko ACT wazalendo.Kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inahitaji chama cha upinzani chenye maadili na miiko ya kimaadili ili kuisimamia na kuikosoa inapokosea serikali, nawashauri watanzania twendeni na Act wazalendo.
Chadema sasa hivi imekengeuka kimaadili, inatetea wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi. Kwa hiyo chadema ya leo haina moral authority ya kuikosoa serikali wala kuishauri.
Hivyo basi watanzania wenye kupenda nchi yao lazima tujenge chama kingine chenye nguvu mbadala wa ccm, tunachoweza kukikabidhi nchi na kila mtu akawa na imani kwamba nchi ipo kwenye mikono salama.
Chadema hii inayotetea kila aina ya uchafu na kimbilio la mafisadi na wauza madawa ya kulevya, haiwezi kuwa chama salama cha kukabidhi nchi yetu.
Kuwakabidhi nchi chadema, ni sawa na kuwapa nchi mafisadi, wauza madawa ya kulevya, majizi na wakwepa kodi.
Chadema ya leo haina kanuni taratibu wala miiko ya chama, hivyo haifai kukabidhiwa nchi.
Twendeni na Act wazalendo angalau kina miiko na azimio la Tabora.
Mahakama aliyoahadi mpiga push up ipo na mnasema imekosa kesi vipi huyu mnaedai Ni fisàdi WA Richmond? Mnaogopa kuwa CCM ndiko Kuna Richmond, EPA, mgodi wa makaa ya mawe aliojimilikisha mkapa, escrow, dowans, etçMwizi wa Richmond amejibanza chadema
Toa uharo huko,kale perege.chadema bado chama makini Tanzania. ACT mtasubiri sana japo naona kaelementi ya lumumba kwenye huu uziKwa kuwa serikali iliyopo madarakani inahitaji chama cha upinzani chenye maadili na miiko ya kimaadili ili kuisimamia na kuikosoa inapokosea serikali, nawashauri watanzania twendeni na Act wazalendo.
Chadema sasa hivi imekengeuka kimaadili, inatetea wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi. Kwa hiyo chadema ya leo haina moral authority ya kuikosoa serikali wala kuishauri.
Hivyo basi watanzania wenye kupenda nchi yao lazima tujenge chama kingine chenye nguvu mbadala wa ccm, tunachoweza kukikabidhi nchi na kila mtu akawa na imani kwamba nchi ipo kwenye mikono salama.
Chadema hii inayotetea kila aina ya uchafu na kimbilio la mafisadi na wauza madawa ya kulevya, haiwezi kuwa chama salama cha kukabidhi nchi yetu.
Kuwakabidhi nchi chadema, ni sawa na kuwapa nchi mafisadi, wauza madawa ya kulevya, majizi na wakwepa kodi.
Chadema ya leo haina kanuni taratibu wala miiko ya chama, hivyo haifai kukabidhiwa nchi.
Twendeni na Act wazalendo angalau kina miiko na azimio la Tabora.
Cha binamu. Mi changu nilikubali matokeoCheti chako au cha binamu yako??
Cha binamu. Mi changu nilikubali matokeo
Kwa kweli Tanzaia hatuna Upinzani bali wachumia tumbo. Agrrr.Kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inahitaji chama cha upinzani chenye maadili na miiko ya kimaadili ili kuisimamia na kuikosoa inapokosea serikali, nawashauri watanzania twendeni na Act wazalendo.