Kwa kuwa CHADEMA imepoteza dira, Watanzania twendeni na ACT Wazalendo

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,552
2,000
Wakulaumiwa ni muuza ngada Mbowe
jiandae kudaiwa advance uliyopewa na Makonda uje kumtetea JF, njia uliyotumia kupenyeza Utetezi juu ya makonda imejaa mashimo Utetezi wako hautapita kamwe, jiandae kukosa balance na kudaiwa advance uliyopewa.
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,125
2,000
Chama chenye Maadili Viongozi wake wote wanamadili ya wizi wa Raslimali za Taifa.Uzwaaji wa ardhi ya Taifa kwa kujipatia 10%,Barabara zisizo na kiwango,Mabasi ya Mwendokasi yasiyo na ubora,Kivuko kibovu bilioni nane zikapoyea,bado zile nyumba mlizowapa wakwe,nyumba ndogo ,ndugu,jamaa na marafiki.

Kuna Escrow, Richmond, Epa,IPTL duh Mabehewa hewa ,madrug lord na watakatishaji wa fedha wadau wenu wakiwa GSM.

Ni bora kukaa kimya maana ndoana ya mvuvi haitakugusa.Majangili wakubwa nyie.In actual fact anaitwa Chama Cha Majangili.
Mbona kila nikirudia na kurudia ulichoandika sioni neno VYETI, au umehongwa?
 
Ulimwengu Mbaya

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,156
2,000
Kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inahitaji chama cha upinzani chenye maadili na miiko ya kimaadili ili kuisimamia na kuikosoa inapokosea serikali, nawashauri watanzania twendeni na Act wazalendo.

Chadema sasa hivi imekengeuka kimaadili, inatetea wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi. Kwa hiyo chadema ya leo haina moral authority ya kuikosoa serikali wala kuishauri.

Hivyo basi watanzania wenye kupenda nchi yao lazima tujenge chama kingine chenye nguvu mbadala wa ccm, tunachoweza kukikabidhi nchi na kila mtu akawa na imani kwamba nchi ipo kwenye mikono salama.

Chadema hii inayotetea kila aina ya uchafu na kimbilio la mafisadi na wauza madawa ya kulevya, haiwezi kuwa chama salama cha kukabidhi nchi yetu.

Kuwakabidhi nchi chadema, ni sawa na kuwapa nchi mafisadi, wauza madawa ya kulevya, majizi na wakwepa kodi.

Chadema ya leo haina kanuni taratibu wala miiko ya chama, hivyo haifai kukabidhiwa nchi.

Twendeni na Act wazalendo angalau kina miiko na azimio la Tabora.
.......nani aliyethibitsha tuhuma zao au wewe umegeuka kuwa mahakama?
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
43,414
2,000
Lakini akihamia chadema atapokelewa kwa shangwe
Ajenda iliyopo mezani ni vyeti vya Bashite, hakuna wakututowa kwenye hoja hii mpaka ang'oke.

Dar ndio kilipo chuo cha UDSM na Maprofesa wote, hatuwezi kukubali kuwa na RC Kilaza na kanjanja.
 
Say no to actors

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
637
1,000
Kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inahitaji chama cha upinzani chenye maadili na miiko ya kimaadili ili kuisimamia na kuikosoa inapokosea serikali, nawashauri watanzania twendeni na Act wazalendo.

Chadema sasa hivi imekengeuka kimaadili, inatetea wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi. Kwa hiyo chadema ya leo haina moral authority ya kuikosoa serikali wala kuishauri.

Hivyo basi watanzania wenye kupenda nchi yao lazima tujenge chama kingine chenye nguvu mbadala wa ccm, tunachoweza kukikabidhi nchi na kila mtu akawa na imani kwamba nchi ipo kwenye mikono salama.

Chadema hii inayotetea kila aina ya uchafu na kimbilio la mafisadi na wauza madawa ya kulevya, haiwezi kuwa chama salama cha kukabidhi nchi yetu.

Kuwakabidhi nchi chadema, ni sawa na kuwapa nchi mafisadi, wauza madawa ya kulevya, majizi na wakwepa kodi.

Chadema ya leo haina kanuni taratibu wala miiko ya chama, hivyo haifai kukabidhiwa nchi.

Twendeni na Act wazalendo angalau kina miiko na azimio la Tabora.
Wewe dada una mapepo, umetoka lini ccmafisadi aka ccmajambazi Leo udai uko ACT wazalendo.
 
HOMBOY

JF-Expert Member
May 16, 2016
1,432
2,000
Kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inahitaji chama cha upinzani chenye maadili na miiko ya kimaadili ili kuisimamia na kuikosoa inapokosea serikali, nawashauri watanzania twendeni na Act wazalendo.

Chadema sasa hivi imekengeuka kimaadili, inatetea wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi. Kwa hiyo chadema ya leo haina moral authority ya kuikosoa serikali wala kuishauri.

Hivyo basi watanzania wenye kupenda nchi yao lazima tujenge chama kingine chenye nguvu mbadala wa ccm, tunachoweza kukikabidhi nchi na kila mtu akawa na imani kwamba nchi ipo kwenye mikono salama.

Chadema hii inayotetea kila aina ya uchafu na kimbilio la mafisadi na wauza madawa ya kulevya, haiwezi kuwa chama salama cha kukabidhi nchi yetu.

Kuwakabidhi nchi chadema, ni sawa na kuwapa nchi mafisadi, wauza madawa ya kulevya, majizi na wakwepa kodi.

Chadema ya leo haina kanuni taratibu wala miiko ya chama, hivyo haifai kukabidhiwa nchi.

Twendeni na Act wazalendo angalau kina miiko na azimio la Tabora.
Toa uharo huko,kale perege.chadema bado chama makini Tanzania. ACT mtasubiri sana japo naona kaelementi ya lumumba kwenye huu uzi
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,371
2,000
Cha binamu. Mi changu nilikubali matokeo

Haya bwana Cha binamu subiri mwenyewe aje atuambie jina lake halisi nani??Maana Binamuya hata Ndoa yake kiuhalisia siyo halali,maana mh!

Mweleze tu binamuyo akiwa kwenye nyumba ya vyupa asitupe mawe au akiwa amejificha basi asipige kelee adui yupo karibu
 
mamishe

Senior Member
Sep 24, 2015
154
250
Natabiri tu,mwaka 2020 kama mungu akitujalia zitto Kabwe atarudi chadema,natabiri tuuu
 
Mwana

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
5,399
2,000
Kwa kuwa serikali iliyopo madarakani inahitaji chama cha upinzani chenye maadili na miiko ya kimaadili ili kuisimamia na kuikosoa inapokosea serikali, nawashauri watanzania twendeni na Act wazalendo.

Chadema sasa hivi imekengeuka kimaadili, inatetea wauza madawa ya kulevya, mafisadi, wakwepa kodi na wachawi. Kwa hiyo chadema ya leo haina moral authority ya kuikosoa serikali wala kuishauri.

Hivyo basi watanzania wenye kupenda nchi yao lazima tujenge chama kingine chenye nguvu mbadala wa ccm, tunachoweza kukikabidhi nchi na kila mtu akawa na imani kwamba nchi ipo kwenye mikono salama.

Chadema hii inayotetea kila aina ya uchafu na kimbilio la mafisadi na wauza madawa ya kulevya, haiwezi kuwa chama salama cha kukabidhi nchi yetu.

Kuwakabidhi nchi chadema, ni sawa na kuwapa nchi mafisadi, wauza madawa ya kulevya, majizi na wakwepa kodi.

Chadema ya leo haina kanuni taratibu wala miiko ya chama, hivyo haifai kukabidhiwa nchi.

Twendeni na Act wazalendo angalau kina miiko na azimio la Tabora.
Kwa kweli Tanzaia hatuna Upinzani bali wachumia tumbo. Agrrr.
 
Mwasita Moja

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,903
2,000
Wakati wauza ngada wakiwa bize kutimiza ahadi za mabwana zao kudai vyeti vya Bashite

Rais wetu yuko bize kutimiza aliyoahidi 2015 hongera sana rais
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom