Kwa kupona jaribu hili, nimeamini Ustawi wa CHADEMA ni mpango wa Mungu

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Habari wanajf!
Hakika nimeamini kuwa kuimarika kwa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) ni mpango Wa Mungu kwa Watanzania. Pamoja na kupitia misukosuko lakini chadema imekuwa ikiimarika Siku hadi Siku.

Nikitolea mfano tukio LA hivi karibuni LA kuvamiwa kwa mkutano Wa Cuf almanusura chadema ingeingia katika tuhuma nzito. Kwa nini?
Mtakumbuka kabla ya uvamizi huo alisikika kiongozi mmoja kutoka cuf lipumba akidai kuwa Chadema imeandaa vijana kwenda kufanya fujo katika ofisi za cuf lipumba.

Siku Moja baadae watu waliovalia kininja wakavamia mkutano Wa Cuf maalim na waandishi Wa habri. Mungu anavyoipenda Chadema aliamua kumuumbua mmoja Wa wavamizi ambaye aliachwa na wenzake na hivyo kuangukia mikononi mwa wanachi na kupewa kipigo. Lakini si hivyo Mungu kutaka kuwaumbua kikwelikweli MTU mwenyewe aliyeachwa ni mlinzi Wa Sikh nyingi Wa Lipumba ( afadhali angekuwa mwingine tungetafuta visingizio) hakika Mungu ni Wa pekee maana kama huyu aliyeangukia mikononi mwa wananchi asingekuwa anafahamika kama mlinzi Wa lipumba Wa Sikh nyingi basi hapana shaka kesi hii wangebambikiziwa chadema.

Mungu anaipenda chadema na hakika itaendelea kuimalika. Wanaccm wenzangu tujipange
 
Huo mpango aliupanga Bashite na sijui kwa anachopamga Bashite kina fail
 
Hilo ndio jaribu?

Jaribu mlilo nalo mpaka hivi sasa, na ambalo hamjashinda na sijui kama mtashinda ni lile la kula matapishi yenu!
 
Back
Top Bottom