Kwa kina Rama..!!!!

Marek18

Member
Apr 26, 2020
20
17
Kwa akina Rama kulikua ndio kuna video mtaa mzima.

Kila ilipokua inafika Saa 12 naoga huyooo Kwa WA RAMA, mda mwingne wakiivisha nipo mara moja moja nilikua nakula kwa WA RAMA.

Sasa siku Moja nipo nacheki movie Mara nikakaribishwa msosi ile nafika dinning room Mara paaaaap MSHUA a.k.a dingi as well as Mzee WA kazi namwona na yeye Yupo

Duuh Toka siku ile mpaka Leo sikuwahi kwenda kwa WA RAMA...
Sio kwa alichonifanyia MZEE WA BWAX(mshua)
 
Kwa Akina RAMA kulikua ndio kuna video mtaa mzima.
Kila ilipokua inafika Saa 12 naoga huyooo Kwa WA RAMA, mida mwingne wakiivisha nipo Mara Moja Moja Nilikua nakula kwa WA RAMA.
Sasa siku Moja nipo nacheki movie Mara nikaka ribishwa msosi ile nafika dinning room Mara paaaaap MSHUA a.k.a dingi as well as Mzee WA kazi namwona na yeye Yupo


Duuh Toka siku ile mpaka Leo sikuwahi kwenda kwa WA RAMA...
Sio kwa alichonifanyia MZEE WA BWAX(mshua)
ulpigwa mpaka ukachakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom