Kwa kile unachofahamu, nahitaji msaada katika hili

caiden mills

Member
Joined
Jul 13, 2019
Posts
49
Reaction score
19
1.Kwa wale wa Certificate wanaoenda kuanza mwaka huu wanaanza application lini na zipo intake ngapi katika mwaka

2. Samahani naomba kwa yeyote anayefahamu course zozote ngazi ya cheti na vyuo vinavyotoa hizo course anisaidie japo kutaja (Vyuo vya serikali) sana Arts subject course.

Ni kwa ajili ya mdogo wangu kamaliza kidato cha nne kapata Division 3 tahasusi hazija balance.

Mimi nimemalza Kidato cha sita nategemea kwenda chuo mwaka huu, nimeuliza sababu bado sijajua mambo tajwa hapo juu yanakwendaje sababu sijafika huko.

Regards

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahitaji coz Gan taja

Back
Top Bottom