Kwa kigezo hii wadada wangapi mpo single

Kwa kigezo hii wadada wangapi mpo single

ila kumweka mtu dp wala hufanyi wengine wamjue jina,maana ni picture tu,imagine mtu kajaza picha za mwenzake facebook ili kuonyesha ana mtu,ila huyo mwenzake yeye hana hata mmoja ya huyo mpenzi wake

Hahahaaa mkuu hiyo inaitwa shobo
 
ila kumweka mtu dp wala hufanyi wengine wamjue jina,maana ni picture tu,imagine mtu kajaza picha za mwenzake facebook ili kuonyesha ana mtu,ila huyo mwenzake yeye hana hata mmoja ya huyo mpenzi wake

Hii dunia ni tofauti sana na uifikiriavyo. Wanasema dunia ni kama kijiji. Hiyo facebook unayizungumzia kuna rafiki wa rafiki na kuendelea. Unaweza kufikiria nani anamjua kumbe mwenzio anajulikana kuliko hata pesa.
 
Na wewe Viol mambo gani haya; unatutengenezea shida mtaani!
 
Wengine hatupendi kuweka mambo yetu hadharani
 
Back
Top Bottom