Kwa kigezo hii wadada wangapi mpo single

Kwa kigezo hii wadada wangapi mpo single

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
1420656747456.jpg
 
Mmmhh wangu toka january 18/2014 kaweka profile yake na wala hajawah badilisha status kudadeki Viol am single completely
 
Last edited by a moderator:
Mmmhh wangu toka january 18/2014 kaweka profile yake na wala hajawah badilisha status kudadeki Viol am single completely

aisee huwa hiyo kitu inafikirisha ingawa si kubwa kivile
 
Maskin, wanatia huruma.

Bt hii ni two way street mkuu.
 
Siyo wazo zuri sana kufanya hivyo, wengine wasione vinaelea, hawajui kama vimeundwa watataka wavitumie. Kwa hiyo ni mwendo wa changu changu chako siyo vibaya kikiwa changu pia.
 
D.P ndio nini?Ila mpaka hapo mie nitakuwa single tu bila ubishi wowote
 
Kabisa sio ishu kubwa namim nina mpango kuweka status now sibadilishi had mwakani
kinachouma ni pale we unakuwa unamweka,ila yeye hana habari japo kukurusha hata lisaa moja,mpaka utaanza kujiuliza huwa anamwogopa nani!
 
Hayo mambo ya kitoto niwekwe profile picture ili ndio nijue napendwa?


Ila nipo kwenye screen saver.


Kutokana na hiyo picture am single sijawahi wekwa ata siku moja lol
 
Siyo wazo zuri sana kufanya hivyo, wengine wasione vinaelea, hawajui kama vimeundwa watataka wavitumie. Kwa hiyo ni mwendo wa changu changu chako siyo vibaya kikiwa changu pia.

ila kumweka mtu dp wala hufanyi wengine wamjue jina,maana ni picture tu,imagine mtu kajaza picha za mwenzake facebook ili kuonyesha ana mtu,ila huyo mwenzake yeye hana hata mmoja ya huyo mpenzi wake
 
kinachouma ni pale we unakuwa unamweka,ila yeye hana habari japo kukurusha hata lisaa moja,mpaka utaanza kujiuliza huwa anamwogopa nani!

Hata mimi sijawah muweka mbona
 
Hayo mambo ya kitoto niwekwe profile picture ili ndio nijue napendwa?


Ila nipo kwenye screen saver.


Kutokana na hiyo picture am single sijawahi wekwa ata siku moja lol
picha akiweka inamaanisha hafichi chochote,sasa utajuaje labda haweki ili ionekane hana mtu
 
Back
Top Bottom