Kwa Kete hii Lowassa ndie Rais 2015

Kwa Kete hii Lowassa ndie Rais 2015

Mkuu niko nyuma yako nikisubiri majibu endapo utapewa ili nape nitupilie mabli hii miwani ya macho niliyovaa!
Muda unakwenda so far hakuna majibu! Just like I thought ... Wanajua wamemuumiza miaka mingi sana na sasa wanaogopa vivuli vyao wenyewe ...
 
Jielimishe,kwa hiyo kukiwa na wachafu wengine inatosha kumnyamazia ?
Pitia hapo labda utaanza kupata harufu!


Mkuu mwaga facts acha porojo! Azimio la znz linaruhusu kiongozi kuwa mjasiriamali! Sioni irregularities yoyote katika ununuzi wa hisa kwenye kampuni ambayo si ya umma!... Mimi nimekupa facts tupu kuwa kuna ambao wamejigawia UDA, Wamepiga deal fedha za misaada hadi change ya Rader! Wako ambao wameuza hii nchi kwa mabepari wa magharibi na wanajulikana ! Kwanini hamuwaoni? kwanini hamuwaandami? juzi kati wamekwapua tena BOT via Esrow a/c Mbona hamuwalalamikii? Kulikoni kwa Lowassa tunaemjua kutokana na utendaji wake uliotukuka?... Something is wrong somewhere...nahitaji kuelimishwa zaidi wakuu...
 
Lowasa ndiye rais uchaguzi mkuu ujao, JK anahuruma sana, kila mtu anaongea anavyotaka, EL atarudisha heshima ya nchi, na wapinzanzani watashika adabu.
 
my dear president (lowassa). be patient, next year iz coming soon naitaji nikuone white house

.made in mby city.
 
Mkuu Rushanju, pls nielimishe kuhusiana na uchafu wa Lowassa uliomzunguka plus kashfa tele alizo nazo... inaelekea mimi ni myopic sioni uchafu wake! mbaya zaidi namuona kama kiongozi thabit mwenye uwezo wa kuongoza na kutoa maamuzi chanya yenye kuleta matokea chanya kwa jamii so far! Legacy yake ni tangibles; Shule zinaonekana, alifuta mkataba wa City Water, maadui zake waliopiga deal la Richmond wako hoi maana ukweli unajulikana wazi kuwa Lowassa hakuhusika bali Mkulu mwenyewe kwa niaba ya USA! so far majina yamebadilishwa na sasa wako Symbion na Obama ameshafika hadi Ubungo!!! Kwanini hamuoni wala kuwaandama walio uza UDA? wenye kupiga deal la IPTL, Agreco, Songas, waliochota fedha za msaada wa Ghadafi? ... Mkuu niambie angalau kashfa tatu tu za Lowassa angalau nisiendelee kuwa kipofu kiziwi kwa Lowassa...
Jinga kabisa
 
Back
Top Bottom