Nae ana roho ngumu sana. Pamoja na uchafu wote huu uliomzunguka na kashifa tele bado anahamu ya kuwa rais?
Nae ana roho ngumu sana. Pamoja na uchafu wote huu uliomzunguka na kashifa tele bado anahamu ya kuwa rais?
my lowasa my president
Sasa kama presidaa kageuka meneja mahusiano wa Diamond , tunategemea nani afanye shughuli za maendeleo?
Nae ana roho ngumu sana. Pamoja na uchafu wote huu uliomzunguka na kashifa tele bado anahamu ya kuwa rais?
Mkuu Rushanju, pls nielimishe kuhusiana na uchafu wa Lowassa uliomzunguka plus kashfa tele alizo nazo... inaelekea mimi ni myopic sioni uchafu wake! mbaya zaidi namuona kama kiongozi thabit mwenye uwezo wa kuongoza na kutoa maamuzi chanya yenye kuleta matokea chanya kwa jamii so far! Legacy yake ni tangibles; Shule zinaonekana, alifuta mkataba wa City Water, maadui zake waliopiga deal la Richmond wako hoi maana ukweli unajulikana wazi kuwa Lowassa hakuhusika bali Mkulu mwenyewe kwa niaba ya USA! so far majina yamebadilishwa na sasa wako Symbion na Obama ameshafika hadi Ubungo!!! Kwanini hamuoni wala kuwaandama walio uza UDA? wenye kupiga deal la IPTL, Agreco, Songas, waliochota fedha za msaada wa Ghadafi? ... Mkuu niambie angalau kashfa tatu tu za Lowassa angalau nisiendelee kuwa kipofu kiziwi kwa Lowassa...
Mkuu labda wewe unaona nani anafaa kuwa raisi ajae? ila usiseme W.slaaNae ana roho ngumu sana. Pamoja na uchafu wote huu uliomzunguka na kashifa tele bado anahamu ya kuwa rais?
Nae ana roho ngumu sana. Pamoja na uchafu wote huu uliomzunguka na kashifa tele bado anahamu ya kuwa rais?
Mkuu niko nyuma yako nikisubiri majibu endapo utapewa ili nape nitupilie mabli hii miwani ya macho niliyovaa!Mkuu Rushanju, pls nielimishe kuhusiana na uchafu wa Lowassa uliomzunguka plus kashfa tele alizo nazo... inaelekea mimi ni myopic sioni uchafu wake! mbaya zaidi namuona kama kiongozi thabit mwenye uwezo wa kuongoza na kutoa maamuzi chanya yenye kuleta matokea chanya kwa jamii so far! Legacy yake ni tangibles; Shule zinaonekana, alifuta mkataba wa City Water, maadui zake waliopiga deal la Richmond wako hoi maana ukweli unajulikana wazi kuwa Lowassa hakuhusika bali Mkulu mwenyewe kwa niaba ya USA! so far majina yamebadilishwa na sasa wako Symbion na Obama ameshafika hadi Ubungo!!! Kwanini hamuoni wala kuwaandama walio uza UDA? wenye kupiga deal la IPTL, Agreco, Songas, waliochota fedha za msaada wa Ghadafi? ... Mkuu niambie angalau kashfa tatu tu za Lowassa angalau nisiendelee kuwa kipofu kiziwi kwa Lowassa...