Come to me plz,you will enjoy a lifeMi hata asiponipa 50% muhimu akidhi mahitaji muhimu sio mboyoyo mingi
Mmmmmh hko kukomoana sasaTena wakati anatoa hiyo 50% awe ameshalipa kodi nyumba, amenunua mchele kilo 50, ameshakwenda Ferry na na Ruvu, freezer ina nyama na samaki wa kutosha na mshahara wa dada ameshalipa.
Yeah......cha mcng dushelle ama cyooooo......xo ni...PM.....faasta fastaaaa.....npo ready for u womanMi hata asiponipa 50% muhimu akidhi mahitaji muhimu sio mboyoyo mingi
Tena wakati anatoa hiyo 50% awe ameshalipa kodi nyumba, amenunua mchele kilo 50, ameshakwenda Ferry na na Ruvu, freezer ina nyama na samaki wa kutosha na mshahara wa dada ameshalipa.