Mngulu anasema hayuko tayari kuona wapinzani wakisherehekea ushindi hata kama watakuwa wameshinda .Haya ni matatizo kwani mwaka jana majimbo mengi ambayo wapinzani walishinda yalitangazwa baada ya maandamano.Anaposema anamsubiri kiongozi furani aandamane kudai ushindi ili yeye mwenyewe apambane naye inaonyesha hatetei haki bali maovu.SOURCE CHANNEL 10
kibaya zaidi hawa sisiyem waitumia vibaya dola.
na kwani hawa polisi,nec,mahakama,takukuru,uhamiaji pia usalama wa taifa.
wanatumika vibaya mno ila wajue mwisho waja!
kiukweli hawa magamba wanatupeleka pabaya.