jaywacnza
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 998
- 1,162
Non sense...rubbish.......Bahati mbaya zaidi utakuta wewe ndo network zimekata.yamkini tukakukuta hata familia yako umekushinda,hawali wanachota wala hawavai wanachotaka sembuse kuongoza nchi?
Non sense...rubbish.......Bahati mbaya zaidi utakuta wewe ndo network zimekata.yamkini tukakukuta hata familia yako umekushinda,hawali wanachota wala hawavai wanachotaka sembuse kuongoza nchi?
Kua na kauli za kutukana tukana ni kuonyesha wewe upo hapa ila ni mwenye u fyatu hivi...mapenzi ya vyama yamekufanyeni kua wajinga wakubwa.mmepofuka hata hamuoni Rais wetu wa sasa anafanya nini kile tulichopiga kelele miaka kadhaa nyuma.unaowapenda kuongoza nchi hii ndiyo waliwahi kukuaminisha nchi hii inataka Rais wa namna gani ambae ndiyo tulienae sasa.leo huoni umeaminishwa mengine na wewe unaenda enda tu na unakosa hekima mpaka unajikuta unatukana waTanzania wenzako.upimwe akiliNon sense...rubbish.......
Niko vizuri, sina chama wala nini, akili ndogo haiwezi kuendesha akili kubwa...Ogopa unafiki katika maisha, mbele za watu unajionesha unania nzuri nyuma ya pazia unafanya ushudu tu......viongozi wako wapo fake,Kua na kauli za kutukana tukana ni kuonyesha wewe upo hapa ila ni mwenye u fyatu hivi...mapenzi ya vyama yamekufanyeni kua wajinga wakubwa.mmepofuka hata hamuoni Rais wetu wa sasa anafanya nini kile tulichopiga kelele miaka kadhaa nyuma.unaowapenda kuongoza nchi hii ndiyo waliwahi kukuaminisha nchi hii inataka Rais wa namna gani ambae ndiyo tulienae sasa.leo huoni umeaminishwa mengine na wewe unaenda enda tu na unakosa hekima mpaka unajikuta unatukana waTanzania wenzako.upimwe akili