Kwa kasi hii ya kuzaliana kwa watu, Umasikini utazidi kukita mizizi Kanda ya Ziwa

Nyinyi kaeni mkiwafata wazungu sisi tunafayatuana tu mkija kushtuka nusu ya watanzania ni wasukuma ndo mtaanza kutafuta mchawi ni nani.Zaeni huoni wana nigeria kwa wingi wao waeanza kujiongeza kusambaa duniani na sasa mkiwa wachache hata haipendezi.
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara.

Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa kasi ya kuzaana inayoendelea kwa mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.

Kwa wastani uzazi huko kwenye hiyo mikoa ni wastani wa 4% kwa mikoa yote 7 kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa jamii za huko.

Case study ni Mkoa wa Mwanza ambao unakadiriwa kuwa na wakaazi takribani Mil.4 huku growth rate ikiwa 4.1% .Inamaana Sensa ya 2032 huenda Mkoa wa Mwanza utakuwa na Wakaazi karibu Mil.8 huku na ndio utakuwa Mkoa wenye Idadi kubwa zaidi ya Watu Nchini na kutupita Mkoa wa /Jiji la wa Dar es Salaam.Hali hiyo itakuwa hivyo kwa Kanda nzima ya ziwa

Cha kusikitisha sasa ni kwamba ukuaji wa kipato hauendani na ongezeko la watu na matokeo yake itakuwa ni umaskini wa kutisha.Kwa mfano Takwimu za 2020 zinaonesha GDP per Capita ya Mwanza ni 2.6Mil ,ambapo kwa Kanda hiyo nzima ni chini ya hicho kiasi ukilinganisha na Mikoa ya Dar (4.6),Iringa(4.0) na Mbeya(3.7).Tayari kuna umaskini mkubwa sasa huo mwaka 2030 Hali itakuaje?

Ndugu zetu wa Kanda ya Ziwa wanaotakiwa Kusaidiwa hasa kwenye Elimu Ili wapunguze uzazi na wadhibiti Umaskini badala ya kuwajengea madaraja nk . Rasilimali kubwa za Mikoa hiyo ni Migodi ambayo haihusishi watu wengi na ambayo haina uhakika wa sustainability.

Nitoe wito kwa Serikali ilitazame jambo hili kwa jicho la upekee na wasaidiwe kwa maslahi mapana ya Nchi.Takwimu hizo hapo za mwaka 2020 kwa mujibu wa NBS

View attachment 1862939

View attachment 1862940

View attachment 1862941

View attachment 1862942
Jinga sana
 
Huko maeneo kunaongoza kwa umaskini mkuu sasa sijui hiyo ni sifa au vipi
Umedanganywa sana! ukakubali au hujafika Kanda ya Ziwa wewe!! Mwanza, Mara Kagera Mikoa hii imepakana na nchi tajiri East Africa yote!! na huko panaitwa kanda maalum, kwa hiyo siyo rahisi kukaa karibu na Waridi usiwaridike....

nchi hizi jirani zinawazidi Bongo kwa uchumi ulio tukuka Elimu nzuri tena kubwa kubwa tu, na Matajiri wa Ulaya wamewekeza miaka dahari kabla hata ya uhuru wa Kenya !! sasa na Linganisha Mikoa km Kigoma, Mtwara, Mbeya nk, ni wapi penye Neema!!

Mataga wote mkiumwa mnakimbizwa huko nchi jirani yetu! na mnatibiwa na wana kanda ya ziwa, wanao fanana na wakenya! mkitoroka nchi lazima mpitie nchi jiarani yetu!! mfano Kambona, huyu dogo wa chadema nani vile yuko canada sasa hivi..., Said Memba Mac ghee nk!! hkn mwanasiasa aliye toroka nchi kupitia Burundi au Malawi!! ina maana tuko karibu na nchi tajiri!!

Hii mikoa imepakana na nchi Maskini mno yaani sisi huku ni Mataita kwao!! nchi km Msumbiji jamani, comoro!! mwee!! lazima hao wa mikoa jirani PIA ni maskini tu !!! angalia machinga wana fanya kazi za hovyo,

LKN Msukuma, Mkurya, Muhaya akija Dar ni kuwekeza!! siyo kutafuta!!! ni kanda pekee iliyo fanya biashara Ulaya!! hao watakuwaje maskini?? au umekosea hujui kanda ya ziwa? hkn Kanda yenye I/air port mbili na vyote vinafanya kazi!!

wakurya wamewekeza Kipunguni, jeshini, polisi nk Mwanaghati kwa uchache tu! yaani ni miji yao kabisaa!! ukienda kule ni swaga za kikurya tupu wahaya wamewekeza kila sekta ya Burudani Tanzania, Wasukuma wamewekeza Pugu mnadani, Visaraka si kawaida ...

Hao unaoona Maskini mwanza ni wamakonde wameenda kutafuta pia!!! lkn kanda ya ziwa ni marufuku kuwa maskini, au kushindwa kujilisha!! Angalia miji yao ilivo kuwa kwa kasi, Musoma, Tarime, Mwanza, Bunda, serengeti weee! Bukoba, Maruku, Njingo, Chato IA Niseme nini Maama!!

ni usipime hata Bongo haioni ndani ukitoa POsta!! Na Bado wako moto sikitoto yaani utaishia kujinyonga tu Mkuu!! waleee??! na hawakomi tena hawapendiga dharau km hizi ndo unawachochea kufanya zaidi...wako tayari waibe chochote lkn kiende Kanda ya ziwa!!

Hii kanda hawataki mtu mzembe!! muongo!! muongo!! muuza naniliu ile.....inaitwaje vile?? any way.... sasa wamekustukia unaanza kuwaponda lkn haiondolei uhalisia wa uhakika kuwa Kanda ya ziwa ni moto hasa! kwa kila kitu tangu enzi za Mkoloni!!!
 
Adui gani hapo? Kwa hiyo Idara ya Taifa ya Takwimu ni adui wa Kanda ya Ziwa au? Unataka tuamini Takwimu zako Au za nani?
Idara ya takwimu ya taifa lako muasisi wake ni nani Mkuu???....... sasa km ni yeye huyo huyo!! watu wake tutampingaje? ..... au hujui?? Mkuu usisome kila taarifa iliyoandikwa ukaibeba km ilivo!! bali ichambua kiundani utoke na kitu!! jiulize why so?

unapaswa kujua kuwa kanda ya ziwa pana ustawi mzuri kimaisha ,siyo kwa Tanzania tu bali Africa nzima! na Dunia! Wenzako wanajua mno siri hii! ukiacha dhahabu, uranium Wazungu na janja yao yote!! kanda ya ziwa imewalisha Sangara Miaka 29, wanajua!!!

sasa km ni hivo kwanini hao watu wasije kusaka maisha kwa kanda iliyolisha wajanja wa Dunia?? Na siyo rahisi nchi za africa kuuza chakula Ulaya kwa bei yako ukakubaliwa kirahisi, bila uzushi!! LKN.....

lkn Kanda ya ziwa waliwauzia kwa bei yao,tena wakafika mahali Kanda hii wakawakatalia wazungu na kusema ''sasa Nile perch kuuza tena Ulaya basi samaki wanaisha''!! waliobaki waacheni tunakula wenyewe!!

kanda hii ina maisha mazuri mnooo Baba umekosea tu!!, amani, na uelewa wa hali ya juu!! hii inapelekea watu wote nchini, na nchi jirani zote kuikimbilia Kanda ya ziwa kuwekeza , kibiashara kielimu kimaisha kuliko hata DSM ..... ni km inavo kimbiliwa USA leo, Duniani!

uliwahi ona wapi Watu wanakimbilia kufa kupona Urusi? Taiwani, Zambia, Malawi, Msumbiji nk, bali kwa africa hii wanakimbilia Bongo na Bongo wanailenga Kanda ya Ziwa, DSM kidooogo!! samaki watamu, wenye ununu!!hapo lazima idadi ya watu iwe kubwa!

Km wajanja wa Dunia tu wanaikimbilia, kwa nini isionekane ina idadi kuuubwa ya watu??? kumbuka ka Demu Karembooo!! maji ya kunde anatongozwa sana, kuliko mweusi tiii!! sasa kanda ya ziwa ni Mrembo wa Dunia!! lazima watu wajae pale hata iweje!

Watu km hawa unao dai ni ni maskini ni wasaka fursa pamoja na wakimbizi kutoka Mikoa na nchi za nje!! maskini wanao anza maisha lazima waonekane Maskini tu!! lkn rudi baada ya mwaka tu uwaone wale wale walivopaa kiuchumi. Kimasrahi hutakaa uamini!

usipojua wewe wengine wajua!! pia unaweza ukadhani number ya maskini imezidi... hii ni kwa sababu wanakuja wapya kila siku! Linganisha na Mkoa km Lindi unadhani nani mwenye akili timamu atakimbilia huko? Mtwara, Iringa, sijui Mafia mwee!!

jua kuwa idadi kubwa ya watu popote pale Duniani inasababishwa na uzuri, ustawi, unafuuu wa maisha wa nchi au Kanda husika kiuchumi. Kisiasa, kiutamaduni kwa maana ya maisha.

Israel ya leo pamoja na udogo wake na siasa zake Za kibabe! leo ina mzigo wa wakimbizi na hao ni maskini kimtazamo, bali kiundani ni wasaka fursa!! uliwahi ona kwa TV? jinsi Israel inavyo hangaika na wakimbizi?? tena wazungu na africans kabisaaa!!

walikwenda kwa miguu! na bado ni maskini hapo Negev mpaka hapa ninavyoongea na wewe But ni wasaka fursa!! Nchi na Kanda za wajanja tunalijua hilo! Uzuri wa Kanda utawavuta tu!! kanda hii kuna kila Taifa ajili ya Dhahabu , Almas, Nuclear Mat,easy access to rich countries!!
Ndo ukweli huo na ukweli utawaweka huru wasaka fursa karibuni kanda ya ziwa!! Maisha murua!!!
 
KUWA NA VIZALIO NI BAHATI SANA NA HII WALIPEWA WAYAHUDI TU!! NDO HAO WA KANDA YA ZIWA!! MUNGU ALISEMA WAKAIJAZE NCHI NA KUITIISHA WEYE NANI UNAPINGANA NA WAZO LA MUNGU?

WAZUNGU HAWAWEZI KUZAA ZAIDI YA MTOTO MMOJA! NDO WAMEKUTUMA HUU UJINGA....NA WEWE UMEPEWA HELA!! PIA UNA BAHATI UKO NDANI YA JF!! NENDA MUSOMA USEME HUU UJINGA HADHARANI

WATAKULAMBA KICHWA PALEPALE! NDO UJUE YALE MAJAMAA YAMEPINDA!
 
Idara ya takwimu ya taifa lako muasisi wake ni nani Mkuu???....... sasa km ni yeye huyo huyo!! watu wake tutampingaje? ..... au hujui?? Mkuu usisome kila taarifa iliyoandikwa ukaibeba km ilivo!! bali ichambua kiundani utoke na kitu!! jiulize why so?

unapaswa kujua kuwa kanda ya ziwa pana ustawi mzuri kimaisha ,siyo kwa Tanzania tu bali Africa nzima! na Dunia! Wenzako wanajua mno siri hii! ukiacha dhahabu, uranium Wazungu na janja yao yote!! kanda ya ziwa imewalisha Sangara Miaka 29, wanajua!!!

sasa km ni hivo kwanini hao watu wasije kusaka maisha kwa kanda iliyolisha wajanja wa Dunia?? Na siyo rahisi nchi za africa kuuza chakula Ulaya kwa bei yako ukakubaliwa kirahisi, bila uzushi!! LKN.....

lkn Kanda ya ziwa waliwauzia kwa bei yao,tena wakafika mahali Kanda hii wakawakatalia wazungu na kusema ''sasa Nile perch kuuza tena Ulaya basi samaki wanaisha''!! waliobaki waacheni tunakula wenyewe!!

kanda hii ina maisha mazuri mnooo Baba umekosea tu!!, amani, na uelewa wa hali ya juu!! hii inapelekea watu wote nchini, na nchi jirani zote kuikimbilia Kanda ya ziwa kuwekeza , kibiashara kielimu kimaisha kuliko hata DSM ..... ni km inavo kimbiliwa USA leo, Duniani!

uliwahi ona wapi Watu wanakimbilia kufa kupona Urusi? Taiwani, Zambia, Malawi, Msumbiji nk, bali kwa africa hii wanakimbilia Bongo na Bongo wanailenga Kanda ya Ziwa, DSM kidooogo!! samaki watamu, wenye ununu!!hapo lazima idadi ya watu iwe kubwa!

Km wajanja wa Dunia tu wanaikimbilia, kwa nini isionekane ina idadi kuuubwa ya watu??? kumbuka ka Demu Karembooo!! maji ya kunde anatongozwa sana, kuliko mweusi tiii!! sasa kanda ya ziwa ni Mrembo wa Dunia!! lazima watu wajae pale hata iweje!

Watu km hawa unao dai ni ni maskini ni wasaka fursa pamoja na wakimbizi kutoka Mikoa na nchi za nje!! maskini wanao anza maisha lazima waonekane Maskini tu!! lkn rudi baada ya mwaka tu uwaone wale wale walivopaa kiuchumi. Kimasrahi hutakaa uamini!

usipojua wewe wengine wajua!! pia unaweza ukadhani number ya maskini imezidi... hii ni kwa sababu wanakuja wapya kila siku! Linganisha na Mkoa km Lindi unadhani nani mwenye akili timamu atakimbilia huko? Mtwara, Iringa, sijui Mafia mwee!!

jua kuwa idadi kubwa ya watu popote pale Duniani inasababishwa na uzuri, ustawi, unafuuu wa maisha wa nchi au Kanda husika kiuchumi. Kisiasa, kiutamaduni kwa maana ya maisha.

Israel ya leo pamoja na udogo wake na siasa zake Za kibabe! leo ina mzigo wa wakimbizi na hao ni maskini kimtazamo, bali kiundani ni wasaka fursa!! uliwahi ona kwa TV? jinsi Israel inavyo hangaika na wakimbizi?? tena wazungu na africans kabisaaa!!

walikwenda kwa miguu! na bado ni maskini hapo Negev mpaka hapa ninavyoongea na wewe But ni wasaka fursa!! Nchi na Kanda za wajanja tunalijua hilo! Uzuri wa Kanda utawavuta tu!! kanda hii kuna kila Taifa ajili ya Dhahabu , Almas, Nuclear Mat,easy access to rich countries!!
Ndo ukweli huo na ukweli utawaweka huru wasaka fursa karibuni kanda ya ziwa!! Maisha murua!!!
Sasa kuzaa watu wenye akili kama yako ya kuwaza chakula tu si tatizo kwa taifa? Maisha ni zaidi ya kula.
 
Mw

dogo temea mate chini....popote ni kula kwanza chakula ndo maisha....vita bila chakula utapigwa mpaka ukome.....
Vita unayoisikia duniani ni ajili ya chakula tu....kilimo manake chakula...UPE imewaharibu sana.
 
Point yako unasema waendelee kuzaana kisa kanda ya ziwa kuna chakula. Kitu ambacho naona sio sahihi.
 
siyo chakula tuuu....unapenda kula weye bila kazi.... nguvu kazi haswaaa! Ndo yenyewe si unaona walivyo mbali kiuchumi.kisiasa na kiutamaduni!
 
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri kwa sauti ya Iron Lady SSH,kiboko ya wanasiasa uchwara.

Moja kwa moja kwenye mada,kuna msemo unasomeka kwamba starehe ya maskini ni ngono,bila shaka unasadifu kwa kasi ya kuzaana inayoendelea kwa mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.

Kwa wastani uzazi huko kwenye hiyo mikoa ni wastani wa 4% kwa mikoa yote 7 kitu ambacho ni hatari sana kwa ustawi wa jamii za huko.

Case study ni Mkoa wa Mwanza ambao unakadiriwa kuwa na wakaazi takribani Mil.4 huku growth rate ikiwa 4.1% .Inamaana Sensa ya 2032 huenda Mkoa wa Mwanza utakuwa na Wakaazi karibu Mil.8 huku na ndio utakuwa Mkoa wenye Idadi kubwa zaidi ya Watu Nchini na kutupita Mkoa wa /Jiji la wa Dar es Salaam.Hali hiyo itakuwa hivyo kwa Kanda nzima ya ziwa

Cha kusikitisha sasa ni kwamba ukuaji wa kipato hauendani na ongezeko la watu na matokeo yake itakuwa ni umaskini wa kutisha.Kwa mfano Takwimu za 2020 zinaonesha GDP per Capita ya Mwanza ni 2.6Mil ,ambapo kwa Kanda hiyo nzima ni chini ya hicho kiasi ukilinganisha na Mikoa ya Dar (4.6),Iringa(4.0) na Mbeya(3.7).Tayari kuna umaskini mkubwa sasa huo mwaka 2030 Hali itakuaje?

Ndugu zetu wa Kanda ya Ziwa wanaotakiwa Kusaidiwa hasa kwenye Elimu Ili wapunguze uzazi na wadhibiti Umaskini badala ya kuwajengea madaraja nk . Rasilimali kubwa za Mikoa hiyo ni Migodi ambayo haihusishi watu wengi na ambayo haina uhakika wa sustainability.

Nitoe wito kwa Serikali ilitazame jambo hili kwa jicho la upekee na wasaidiwe kwa maslahi mapana ya Nchi.Takwimu hizo hapo za mwaka 2020 kwa mujibu wa NBS 👇👇

View attachment 1862939

View attachment 1862940

View attachment 1862941

View attachment 1862942
Kama watakula Polisi au wapi watajua wenyewe huenda wanakula pesa za Magufuli a.k.a. mwendazake
 
Back
Top Bottom