mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,081
mheshimiwa wakili msomi Tundu lisu raisi wa TLS na mwanasheria Mkuu wa chadema na mbunge wa singida mashariki hivi karibuni amekuwa akiwaelekeza mahali kwenu pa kwenda kisiasa. naamini mmemuelewa. msing'ang'anie sehemu msiyotakiwa. na uzuri ni kwanda number don't lie na nyie ndo huwaga decision vote.
Tafadhari moderator:
Tabia ya kuhold nyuzi zangu sio fair, Uhuru wa kutoa maoni lazima uheshimiwe. demokrasia.
Tafadhari moderator:
Tabia ya kuhold nyuzi zangu sio fair, Uhuru wa kutoa maoni lazima uheshimiwe. demokrasia.