ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,116
- 49,840
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeipatia Tanzania mkopo wa Sh374.9 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa umeme wa maji Kakono uliopo Kanda ya ziwa.
Fedha hizo ni kati ya Sh750 bilioni ambazo AfDB, Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) kwa ushirikiano na Umoja wa Ulaya zilikubali kufadhili mradi huo ikiwa ni ombi la lilitolewa na Serikali.
Akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba huo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema kabla ya fedha zilizopokelewa leo nyingine zilipokelewa Machi 7, mwaka huu.
---