Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,237
Kwa siku 4 au 5 hivi ninaona tangazo la biashara la kuhamasisha wananchi kuhudhuria sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zitakazofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma , bado sijajua kama walengwa ni watanzania wote ama wakazi wa Dodoma tu .
Naomba kuthibitisha kwamba sijawahi kuona Sherehe hizi zikipigiwa debe mithili ya nguo za mitumba kwenye lile soko la Mbagala kabla halijaungua , Mara zote sherehe hizi hufahamika kwa wananchi na kinachofanyika ni kuzitangaza kwenye Taarifa za Habari za vyombo mbalimbali vya habari na baadaye wananchi hujongea kwa wingi mahali zinapofanyika
Mwaka huu kulikoni zipigiwe debe ?