Kwa jinsi Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea anavyokurupuka Bungeni, ndivyo anavyofanya Mwanahalisi

KUBENEA zile makala, mwandishi sio yeye, yeye anaweka jina Lake TU.. Mda mrefu nilimgundua tokea 2008, yeye Ana ujasiri wa kuandika jina, na wanaoandika hawana ujasiri wa kuweka jina, ukitaka kuona wepesi wa Kubenea, mpe nafasi ya kuzungumza..
Mkuu nakumbuka Lissu alimsomea vifungu vya kumshawishi spika katika kutoa ule muongozo wa shanga.....

Kitabu cha kanuni alikuwa nacho, lakini alishindwa kusoma....

Nlicheka sana
 
Mkuu nakumbuka Lissu alimsomea vifungu vya kumshawishi spika katika kutoa ule muongozo wa shanga.....

Kitabu cha kanuni alikuwa nacho, lakini alishindwa kusoma....

Nlicheka sana
Tehetehetehetehe. Kubenea ni mbunge Kilaza kuweza kupatikana kwenye bunge letu. Hadi anatia huruma
 
KUBENEA zile makala, mwandishi sio yeye, yeye anaweka jina Lake TU.. Mda mrefu nilimgundua tokea 2008, yeye Ana ujasiri wa kuandika jina, na wanaoandika hawana ujasiri wa kuweka jina, ukitaka kuona wepesi wa Kubenea, mpe nafasi ya kuzungumza..
Tehetehetehetehe. Hapa umenena ukweli. Kuna biashara ilikuwa inafanyika hapo. Sasa Kubenea anaumbuka
 
Huwezi kumfananisha Kafulila na Kubenea hata kwa chembe. Kubenea ni mbunge wa hovyo kuweza kutokea CHADEMA
Mh! hapo sio kweli. chadomo wanawabunge wahovyo zaid ya kubenea, wachek mababy! we watupie jicho tu kwa chat utaniamini.
 
ha ha jiji linanuka kila mahala umepachikwa na kupewa jiji kichwa maji huna uubunifu hata mmoja Zaidi ya kuuza sura kwenye vyombo vya habari wewe na aliyekupa madaraka mumekwama mumeshindwa mumelegea munachukiwa na wananchi kwa asilimia kubwa hamna fikra ya kukwamua nchi hii kuondokana na lindi la umasikini munajilimbikizia na kugawa wananchi kikundi chenu mukila raha wananchi wakulima wafanyakazi wakiteseka mno munakurupuka kwa kila jambo umechoka kusaka sukari za akina Dewji baada ya kukushua unahangaika na kubenea lala toto lala endelea kula hela ya kodi za wananchi maana umepachikwa ufanye propaganda Dar umeshindwa shika ufagio kafagie vituo vya Dart vinanuka
We sio mtanzania
 
Ni heri nafasi ya Kubenea ungechukua wewe, tungeona hoja makini zinazosindikizwa na ushahidi wa kisayansi, kama unavyofanya kwenye makala zako kwenye raia mwema.

Lakini kubenea hapana......big no
huyo ndio pumba kabisa....ana kigugumizi hatari...tatizo la kubenea ni kutaka kuufukuzia umaarufu wa zitto bungeni...zitto alikuwa na hoja za mashiko ye amebaki kuongea pumba tu
 
huyo ndio pumba kabisa....ana kigugumizi hatari...tatizo la kubenea ni kutaka kuufukuzia umaarufu wa zitto bungeni...zitto alikuwa na hoja za mashiko ye amebaki kuongea pumba tu
Mkuuu upo? Unajua nilivyokuwa nasoma makala za kubenea nilijua ni muongeaji mzuri kama Mnyika, Lissu, Wenje, Kafulila au Silinde.

Daaah yaan hana tofauti na akina majimarefu wa ccm
 
Mkuuu upo? Unajua nilivyokuwa nasoma makala za kubenea nilijua ni muongeaji mzuri kama Mnyika, Lissu, Wenje, Kafulila au Silinde.

Daaah yaan hana tofauti na akina majimarefu wa ccm
Kama unamtamani sana Kubenea, mtafute mida ya jioni ugeuke akuburudishe!
 
Mkuuu upo? Unajua nilivyokuwa nasoma makala za kubenea nilijua ni muongeaji mzuri kama Mnyika, Lissu, Wenje, Kafulila au Silinde.

Daaah yaan hana tofauti na akina majimarefu wa ccm
kubenea ndiyo mbunge mbumbumbu kuliko wote, ili ujue kuwa yupo hvyo hata yy mwenyewe hajui elim yke, utasema unambunge?
 
Mi naishi jimbo hili hili la ubungo, ila tangu mwanzo sikupendezwa na John kwenda kibamba. Binafsi sikumpigia huyu jamaa, kuna mshkaji flani wa Kutoka chama cha umma ndo nilimpigia. Kubenea nilimwona chenga tangu mwanzoni na nafurahi nilikuwa sawa.
 
Back
Top Bottom