Kwa jeuri hii bodi ya ligi na TFF hawako huru, hawako peke yao

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Bodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile.

Timu hata za jeshi kuonewa uwanjani kwa kuchezeshwa kihuni hakuwezi kufanikishwa na bodi ya ligi pekee.
 
1000085188.jpg
 
Ukishashondwa kesi ya CAS, kifuatacho ni kuwa mpole maana hakuna atakayekusikiliza tena duniani
 
Yanga itawashindia wote waliokandamizwa. Naomba Mungu Yanga wakubali kucheza Derby hiyo.
 
Yanga tunacheza derby na kuwakanda makolo hilo halina shaka, kocha wetu uto apange kile kikosi kilimnyoa Azam na wacheze namna Ile walicheza na TP Mazembe kufa au kupona
 
Bodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile.

Timu hata za jeshi kuonewa uwanjani kwa kuchezeshwa kihuni hakuwezi kufanikishwa na bodi ya ligi pekee.
Siasa!
Mwaka wa uchaguzi
 
Kuna wakati Hawa wakaina mnguto na karia wanapokea maagizo kutoka juu kuhusu mpira wetu,
Ndio maana hawezi kutoa chanzo cha kuahirisha mechi. Hawezi kusema ni maagizo kutoka juu, lakini tumeona namna watu wa juu walivyokwenda kukagua uwanja.
 
Sasa TFF ndio watajua kufungisha ndoa timu 8 ilikuwa kosa. Ubaya Ubwela tunawazoom tu😅😅😅
 
Yanga tunacheza derby na kuwakanda makolo hilo halina shaka, kocha wetu uto apange kile kikosi kilimnyoa Azam na wacheze namna Ile walicheza na TP Mazembe kufa au kupona
Naunga mkono hoja ikiwa na kocha atapanga waamuzi, vinginevyo mtamlaumu Hersi kwani tulishakubaliana HATUCHEZI NG'O halafu yeye anapeleka timu.
Yanga wakipeleka timu, hata kama watafungwa kwa magumashi ya refa yanayotokana na maelekezo ya bodi na TFF, hapo ndio mwanzo wa mtifuano klabuni, utakaopelekea Hersi kujiuzulu na GSM kujiondoa udhamini na ufadhili wa klabu.
Yangu macho na mwenyekusikia asikie.
 
Back
Top Bottom