Kwa Iran kurusha makombora Uarabuni yatakua yanajirudia yale ya Gidioni kwenye Bilblia

Kwa Iran kurusha makombora Uarabuni yatakua yanajirudia yale ya Gidioni kwenye Bilblia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,476
Reaction score
53,335
Ukisoma Waamuzi 7 kuanzia 22, Wamidiani walidhamiria kuifuta Israel, wakaja wengi mno yaani kwa silaha na kwa walivyokua wamejiandaa, wangeifuta Israel isahaulike, ila Gidioni kwa idadi ya wapiganaji 300 walishtukiza na kupiga tarumbeta usiku, hao Wamidiani wakachanganyikiwa na kuanza kuchinjana wenyewe, wachache waliosalia wakakimbia.

Kinachotendeka Mashariki ya Kati inawezekana yanajirudia hayo ya Gidioni, maana haya mataifa yote ya Waarabu huwa na nia ya kuifuta Israel, japo Marekani huwadhibiti lakini wengi wanafahamika kufadhili magaidi kimya kimya maana chuki yao kwa Wayahudi ipo tangu, ikikumbukwa hata Mohammad mwenyewe alisababisha mauaji ya Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani.

Sasa Iran imekua inarusha makombora kwa Waarabu huko, Israel iendelee kushikilia hapo, piga kabisa Iran huku hao Iran waendelee kufyatua kila walichosalia nacho kuelekea Uarabuni, hii kiaina italinda Israel kwa miaka 100 ijayo maana watarudishana nyuma, ukizingatia hayo mataifa ya Uarabuni yalikua yameendelea sana kijeshi na kiuchumi, ingekua hatari sana kwa Israel.
 
20260315_071946.jpg
 
Israel ni kama kifaranga cha kuku,mvua ikianza kunyesha inajificha kwenye mabawa ya mama yake
 
Back
Top Bottom