Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,650
- 218,119
- Thread starter
- #121
Majibu tu mjomba , wala sitaki mengine .Unataka nini haswa?
Majibu tu mjomba , wala sitaki mengine .Unataka nini haswa?
Unamaanisha kwamba katiba ndio basi tena , sasa hivi ni mwendo wa maagizo ?Mkuu kila mtu hupokea naagizo kutoka juu. Wewe hapo umeagizwa kuhoji iadilifu wa serkali umesahau kuwa serkali ina viongozi wa kuchaguliwa