Kwa IGP Sirro: Dar vibaka wamezidi

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,360
9,615
Mkuu Siro,

Kama wasaidizi wako hawakuelezi vizuri basi kaa ukijua kwamba Dar kuna vibaka wengi sana; wapo kama Panya Road, wengine wanavalia kama wanafunzi ili wasitiliwe wasiwasi.

Mitaa ambayo imekithiri kwa vibaka wa aina hii ni Mbezi Juu, Ubungo, Manzese, Buguruni, Mabibo, Makuburi na Sinza. Mitaa ya Goba na Musumi pia wamo.

Vibaka hawa wanafanya kazi zao kama ifuayavyo;

1. Wanaingia ndani ya majumba ya watu wakiwa wamelela na kuiba vitu kama vile computer, TV (flat), hela, simu n.k.
2. Wanavalia kiwanafunzi alafu wakikutana na mtu wananyang'anya vitu kama mikoba, hela, begi, simu n.k

Chonde chonde, chukua hatua!
 
Kuna majaa fulani Wanatumia Ford ranger Hao ni wezi balaa alafu ukiwaona hata huwezi wadhania, waulize I samaki samaki obay wiki kama 1 Jzi kati walimliza mtu manengelo

Ova
 
Tunaupungufu wa askari maana kwa sasa unajua tuko kwenye chaguzi na askari wetu wengi wako mafunzo.

Alisikika kamanda mmoja
 
Ni wahuni wa wachadema baada ya kukosa fursa ya kukwapua kwenye mikutano na maandamano wamegeukia kwenye makazi ya watu!
Cc.Mmawia
 
Suala la vibaka na wakwapuaji tuliishalimaliza huko nyuma baada ya kuwa hawafungwi jela kwa kukosekana kesi za msingi kisha kutolewa kwa dhamana hata wanapokamatwa na polisi.

Hao ni kuwaandalia mtego maalumu. Mkimshika anakuwa mfano kwa vibaka wengine.

Ninapoishi kuna askari magereza alihamishiwa sebure nzima.wakaaanza msako wa wazururaji usiku waliokamatwa walijuta kuja duniani.
 
Back
Top Bottom