sweetapple
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 533
- 461
Ilikuwa ni KIU ya Muda mrefu saaana ya Watanzania tulio wengi kuhusu kuboresha Elimu..Elimu nchini Mwetu ni kama ilikuwa inachezewa UPATU...Ilidororaaa..ikafika wakati wanafunzi wakawa wanafaulu kwa Lazimaa kwamba Hawezi..au hana Uwezoo anajikuta amefaulu..ilisikitishaa saaana...Mimi personally niliwai kukutana na Mzazi mmoja aliyekuwa analalamikaa iweje mwanae afaulu ilihali hata Kusoma hawezi?lakini alipoenda Shule husika lengo amrudishe madarasa ya chinii aliambiwa asijari kuna mtihani Wa kuwapima tena..hata alipopimwa tena na kushindwa eti imeamuriwa waendelee tu...swali ni kweli waliokuwa wanafanya hayaa walikuwa na Motive gani behind??Ulizaa watoto waoo sasa Shule walizopo..ni Feza na kwinginekoo....nje ya nchi siku niliposikia Jina la Pro.Joyce Ndalichako eti kateuliwa kuwa Waziri Wa Elimu!!nilisimama juu huku Machozi yakinitokaa nilijua kwa Hakikaa Mgonjwaa Kapata Dawa husika wengi niliowasikiaa wamepokea kwa shangweee pengine zaidi kuliko mawaziri wengine...Huyu Mama wasiomjua watambeza na kumhusisha na Udini Historian inaonyesha waliokosea walikuwa chini yakee na aliwawajibishaa..Mama huyu ni Mtetezi Wa Wanyongee...maana anajua ni Elimu ya Uhakikaa pekee inayoweza kumkomboa Mtoto Wa Masikini na kumpandisha juu.
Maana ukimdanganya mtoto Wa masikini eti bila kuwa na msingi mzuri umfaulishe tuu ataenda kukwama juu..INA maana hatafika mbali na kubakia kwenye Lindi La Umasikini!
May God Bless President Magufuli for this....even though Im Ukawa By nature (Ukawa Damu)but for this I Adore Magufuli...he is a real and good President we mostly wanted coz He knows where, when ,what and how to fix Things in its place...Pro.Joyce..go go gooooo!!!