Nlichogundua wanawake wengi wenye migogoro katika ndoa zao ni wale wenye historia ya kuwa mama huruma hata kabla ya ndo, feminist,wenye kauli chafu na wasio jiheshimu.
Huyo shemeji' ni Mama huruma na hajiheshimu na ndiye chanzo cha mgogoro wake kwenye ndoa/haaminiki Ndio maana mkeo amekuonya kwa kuwa anamjua. .
Na wewe umeamua kuuita mgogoro mdani ya ndoa yako.