Kwa huu wizi mtandaoni hatari

Kwa huu wizi mtandaoni hatari

test man

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
1,014
Reaction score
970
Jamani kuweni makini na matapeli leo wamenipiga sh 10,000 nimetuma mwenyewe ishu iko hivi, nilipigiwa simu namb ngeni ya vod mida saa nne asbh akajitambulisha kuwa customers care vodacom, kuwa Kuna mteja hapa anaitwa wilfrida Nelson ametuma hela kwa makosa kwako sh 17,000 kama umepata huo muamala tuambie mm nikamwambia kama upo vodacom customers care kwann usirudishe huo muamala kwa mwenyewe akasema hata ww unaweza kutusaidia samahani lkn, kidgo meseji ikaingia kutoka Voda M-Pesa kuwa nimepokea sh 17,000 kutoka kwa huyo wilfrida, Muda huo bado naongea na huyu customers care fake, nikamwambia nimeiona hiyo meseji akasema ahsante tunaomb imurudishie hela yake tuma hata sh 10,000 nyingn iwe makato nikamwambia pw na Muda huo ni kweli meseji ya M-Pesa, anakata tu huyu wilfrida kanipigia anataka hadi kulia samahani nimekosea kutuma hela imekuja kwako nikamwambia pole ngoja nikutumie nimeambiwa, sasa kumbe Muda huo naongea na wilfrida huyu jamaa karudisha huo muamala kwao mm haraka haraka nikamtumie huyu dada sh 10,000 salio kurudi nimebakia na sh 350 daaah kuwapigia simu haipatikani nikatuma meseji inapokelewa lkn wahajibu nami nikakimbilia karudisha muamala kuingiza hizo namb naambiwa huyu mtu tayar ameshaitumia hela nimekasirika kweli hapo nikakubali nimepigwa nikafuta hadi namb zao sikutaka hata kuziona nikaakimya nikaona niwape taadhari wadau huo ndo wizi mpya wa matapeli mtandaoni chonde chonde usikubali kurudisha muamala wa hela ambayo mtu amekosea.
 
Haha juzi nilipigiwa simu na mtu hivyo hivuo sasa nikawa nshapata habari kuhusu huu wizi mpya nikamwambia. Mpaka nione hiyo hela Mara ghafla hela ikaingia nkwambia nimeiona ngoja nirudishe
Fasta nikatoa maana kuna namba za wakala ninazo kichwani anataka kurudisha kashindwa
Akanipigia eti nirudishie hela yangu nkamwambia kwani wewe joha nimemrudishia joha uliesema kakosea katuma kwangu nikawa nimemtapeli tapeli ili akome na hiyo hela nimeitoa safaka kwa mam mmoja mgonjwa sana jirani yetu
 
Sitaki kukuita jina lolote kwa ulichofanyiwa...ila umetapeliwa kiboya sana maana ufala tu umetumika kukutapeli(Haijatumika akili yoyote kukutapeli)

Hivyo wewe ni nani?
 
wee kibokoo
Haha juzi nilipigiwa simu na mtu hivyo hivuo sasa nikawa nshapata habari kuhusu huu wizi mpya nikamwambia. Mpaka nione hiyo hela Mara ghafla hela ikaingia nkwambia nimeiona ngoja nirudishe
Fasta nikatoa maana kuna namba za wakala ninazo kichwani anataka kurudisha kashindwa
Akanipigia eti nirudishie hela yangu nkamwambia kwani wewe joha nimemrudishia joha uliesema kakosea katuma kwangu nikawa nimemtapeli tapeli ili akome na hiyo hela nimeitoa safaka kwa mam mmoja mgonjwa sana jirani yetu
 
Wizi ni sawa na kubet, kuna siku unapata na kunasiku unakosa. Huyo Leo kapata, inawezekana kesho akakosa kabisa. Siku nyingine tuma kiasi kikubwa ili akikosa angalau kwa siku mbili tatu awe na pesa.
 
Back
Top Bottom