Kwa huu mkorogo uliotokea UKAWA ni bora kila chama kingesimama kivyake...

cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,775
1,944
Ukawa si lolote wala si chochote. Mlikuwa mnajidai kuikataa katiba ya Chenge na 6 wakati nyie ndio wa kwanza kuvunja katiba za vyama vyenu kwa kuingiza mafisadi walioshindikana CCM.

Haina maana tena ya kudai katiba mpya ya wananchi kwani hata katiba za vyama vyenu zimewashinda.

Anguko la wapinzani safari hii ni kubwa kuliko kipindi kile ambapo kila chama kilisimama kivyake katika uchaguzi mkuu. Pole sana Mbowe na wenzako kwa kukurupuka.

Mmejitahidi kujenga vyamavyenu kwa zaidi ya miaka 20 lakini mmevibomoa ndani ya wiki 1 tu iliyopita. Lakini hongereni pia kwa kutupunguzia mzigo wa kupanga foleni kwa ajili ya kuwapigia kura siku ya uchaguzi.
 
Pesa za ESCROW ndizo zinafanya kazi kazi. Nasikia Lipumba mmempiga pesa ndefu sana!! Pamoja na kuhonga safari hii CCM ni lazima tuwapige chini tu!
 
Huyu anastahili kuhitimishwa kwa mud aende afikirie na upya aisee maana akili za usingiz hz shida
 
Poleni MiCCCM, Mwaka huu ni mwaka wenu wa shetani, tulieni sindano iwaingie vizuri, acheni longolongo!!!!!!
 
Ukawa si lolote wala si chochote. Mlikuwa mnajidai kuikataa katiba ya Chenge na 6 wakati nyie ndio wa kwanza kuvunja katiba za vyama vyenu kwa kuingiza mafisadi walioshindikana CCM. Haina maana tena ya kudai katiba mpya ya wananchi kwani hata katiba za vyama vyenu zimewashinda. Anguko la wapinzani safari hii ni kubwa kuliko kipindi kile ambapo kila chama kilisimama kivyake katika uchaguzi mkuu. Pole sana Mbowe na wenzako kwa kukurupuka.
Mmejitahidi kujenga vyamavyenu kwa zaidi ya miaka 20 lakini mmevibomoa ndani ya wiki 1 tu iliyopita. Lakini hongereni pia kwa kutupunguzia mzigo wa kupanga foleni kwa ajili ya kuwapigia kura siku ya uchaguzi.

Aiseeh pole sana
 
Attachments

  • 1438893016088.jpg
    1438893016088.jpg
    43.5 KB · Views: 518
  • 1438893039452.jpg
    1438893039452.jpg
    10 KB · Views: 1,530
ccm jamani mbona shida hivi? Siku hazigandi tunasogelea Oktoba 25. Ndio mtajua kuwa UKAWA ipo au imekwisha. Mtu kuondoka chamani ni haki yake. Kwamba kapewa hela au kapewa mke hatujui wala hatutaki kujua, tunachojua nu kwamba UKAWA ni imara kuliko ilipo anzishwa.
CCM bila rushwa ni maiti tayari. Msiogope, rushwa yenu tutakula lakini kura UKAWA tuuu tangu kitongoji mpaka Ikulu
 
Kwa nini mnasubiri mtu afanye ndiyo mseme!? Ninyi mmefanya kitu gani hadi kumlaumu Mbowe!!? Kila wakati mlikuwa mnasema wapinzani waungane waungane, hamkujua kuna changamoto kama hizi!? Mnafikiri ni rahisi kiasi hicho?
 
Ukawa si lolote wala si chochote. Mlikuwa mnajidai kuikataa katiba ya Chenge na 6 wakati nyie ndio wa kwanza kuvunja katiba za vyama vyenu kwa kuingiza mafisadi walioshindikana CCM. Haina maana tena ya kudai katiba mpya ya wananchi kwani hata katiba za vyama vyenu zimewashinda. Anguko la wapinzani safari hii ni kubwa kuliko kipindi kile ambapo kila chama kilisimama kivyake katika uchaguzi mkuu. Pole sana Mbowe na wenzako kwa kukurupuka.
Mmejitahidi kujenga vyamavyenu kwa zaidi ya miaka 20 lakini mmevibomoa ndani ya wiki 1 tu iliyopita. Lakini hongereni pia kwa kutupunguzia mzigo wa kupanga foleni kwa ajili ya kuwapigia kura siku ya uchaguzi.
Wamechemka mbaya ndugu yangu, mbaya zaidi inaonekana wazi kabisa walikuwa hawajajipanga kabisa kwenye nafasi ya Urais. Walikuwa hawana mtu waliyemuandaa kugombea Urais ndio maana wamechukua makapi ya CCM.
 
Pesa za ESCRO ndizo zinafanya kazi kazi. Nasikia Lipumba mmempiga pesa ndefu sana!! Pamoja na kuhonga safari hii CCM ni lazima tuwapige chini tu!

na Dr nae kahongwa?
lazma tufikiri kwa kina tusiropoke,
huu ukawa hili kosa lililofanyika kumkaribisha EL lazma litugharimu
 
Son of Gamba what goes around turns around, Maghufuli alichoma nyavu za wavuvi + bomoa bomoa, hatakiwi tena, poleni!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom