Kwa hiyo Zanzibar wananunua mchanga wa Tanzania Bara halafu mapato ya mauzo yanarudi upya Zanzibar kujenga miradi mipya ya Muungano?

Kwamba Zanzibar hawana mchanga?
Au mchanga gani?
 
Kama kweli Tanzania ni nchi moja kwanini kununua mchanga liwekwe tangazo vipi tabora ikitoa mchanga katavi kuna tangazo
Bro, mbona hili li wazi. Zanzibar ni nchi ya mbali sema wanatumia ujinga wetu watanganyika kuiba na kuhamisha Kila kitu kutoka Tanganyika ..nchi yetu Iko mikononi mwa wakoloni Zanzibar. Tulitawaliwa na weupe sahivi Tanganyika ni koloni la Zanzibar
 
Mchanga wa ujenzi!
Zanzibar kupata mchanga usiokuwa na chumvi ni shughuli pevu. Miradi mikubwa inavusha mchanga kutoka Tanganyika.
Climate change imesababisha ongezeko la maji baharini. Hivyo maeneo mengi yamevamiwa na maji chumvi.
 
Na kuna wajinga wana unga mkono hili
 
Mchanga wa ujenzi!
Zanzibar kupata mchanga usiokuwa na chumvi ni shughuli pevu. Miradi mikubwa inavusha mchanga kutoka Tanganyika.
Climate change imesababisha ongezeko la maji baharini. Hivyo maeneo mengi yamevamiwa na maji chumvi.
Siku zote walijengaje na walikuwa wanautoa wapi?
 
Back
Top Bottom