Kwa hiyo Dar hakuna pisi Kali?

Davives

Senior Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
110
Reaction score
131
Kwaio Dar hakuna pisi Kali🧐🧐🧐

Hii ni wiki ya pili sasa nipo hapa jijinina sijaona uhalisia WA dar wanayoisimuliaga kwenye stori🤣🤣
Nyie pisi Kali za dar mpo wapi??🧐🧐

Wiki inakata wakuu bila hata amsha amsha 🤣🤣🙏
 
Pisi kali huwezi kuziona ukiwa bom bom huko. Sogea mitaa ya Kino Clein ujionee wachumba wa kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…