Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,540
- 139,856
Sisi tulkuletee misaada ya kuokoa uhai wa watu wako. Halafu wewe uwaue kwa risasi, si udwanzi huo
Nchi huru !!! Kuwa Nchi huru haimaniishi kwamba you can eliminate your civilians unavyotaka halafu mataifa mengine yakutazame tu ,Kwa hiyo mkuu ukiwa rais si unapiga bei nchi yote asubuhi na mapema maana hauamini kwamba Tz ni nchi huru na ina uwezo wa kuamua mambo yake kwa namna inayoona inafaa.
Sio kwamba hatuwezi kushukuruNgozi nyeusi haina shukrani, do maana sisi ni weusi
ni changamoto mno aiseWajinga hao

Hapo yanawaza kwenda huko kuishi , yakifika huko bado yanafuatilia na TZni changamoto mno aise![]()
Hua una comment kwa hasira jitulize kijanaHapo yanawaza kwenda huko kuishi , yakifika huko bado yanafuatilia na TZ
Ila ni siasa taifa moja kuua watu wa taifa lingine?Nchi huru !!! Kuwa Nchi huru haimaniishi kwamba you can eliminate your civilians unavyotaka halafu mataifa mengine yakutazame tu ,
Wote ni uovu na sijawahi kusimama upande wa uovuIla ni siasa taifa moja kuua watu wa taifa lingine?
Muovu anaweza kuwa na nia ya dhati na njema ya kumwajibisha muovu mwenzake?Wote ni uovu na sijawahi kusimama upande wa uovu
So wote wanapaswa kushughulikiwa so siwezi kutegemea upande wa serikali eti kisa USA Amewahi kufanya hivyo Kwa mataifa mengine
Huwezi kurasimisha uovu na ushenzi Kwa uovu na ushenzi ,
Uovu ni uovu tu .
Lucas MwashambwaKwa hisani ya watu wa Marekani
1)Wametoa misaada mingi ya AFYA..ikiwemo madawa ya kufubaza mavirusi ya UKIMWI madawa ya UKIMWI.
kusaidia wagonjwa wa UKIMWI kuwapatia dawa za bure
Malaria dawa mseto za malaria vyandarua mpaka kondomu
na misaada mingi ya kibinamu,kielimu,afya na kadhalika..misaada mingi sana..
2)kutujengea matundu ya vyoo mashuleni..watoto wetu waweze kujisaidia vizuri..kwenye matundu ya vyoo
shule za kata..n.k
3) kutujengea mabarabara
Misaada mingi sana sana huwezi kuimaliza kuitaja misaada mingi mingi sana sana KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI kuliko taifa lolote duniani.
Lakini hawa tunaowaita wahisani jumuiya za kimataifa wanapopaza sauti kukemea ukiukwaji wa haki za kibinadamu,kupinga UVUNJAJI wa haki za kibinadamu tunawabadilishia majina kutoka WAHISANI mpaka kuwaita MABEBERU . wanatuingilia mambo yetu ya ndani wanajifanya ni watawala wetu..,kisa tu wanakosoa ukandamizaji na dhuluma za haki za wanadamu wengine.
KAMA hawa WAHISANI au MABEBERU kama mnavyowaita kama wameongea UONGO si wapingwe kwa hoja ,HOJA hupingwa kwa HOJA na TAFITI(Kwa kutumia wasomi wetu tulio nao MAPROFESA)
Kuliko kuwaita majina MABAYA ,kuwaita MABEBERU haitaondoa ushahidi ya HISANI YA WATU WA MAREKANI inayoishi.
Hilo linakuja na kupata authority pale tu ambapo unapo tumia pesa za muovu huyo halafu unataka kumpangia namna ya kukuamulia kuishi 😄😄Muovu anaweza kuwa na nia ya dhati na njema ya kumwajibisha muovu mwenzake?
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba ukiwa muovu na ukiwa na power hakuna matata, upo free kufanya lolote utakalo?Hilo linakuja na kupata authority pale tu ambapo unapo tumia pesa za muovu huyo halafu unataka kumpangia namna ya kukuamulia kuishi 😄😄
Ukiwa omba omba Kwa yeyote yule Wewe ambaye ni omba omba huna kauli Kwa unaye muomba yeye ndiye atakaye kupangia namna ya kuyaendea maisha Yako
Otherwise tafuta power ili nawewe uwapangie wenzako
Umeona alichofanya Iran !?
Uko bongo ila akili iko nchi za watu , mlaumu mama yako aliyekuzaa usipopapendaHua una comment kwa hasira jitulize kijana
mengine yaliwahi kujidanganya kwamba eti huko kuna maisha mazuriii, walipoenda wakaishia kwenye kazi za kuogesha mbwa, kuosha vyombo na kumenya vitunguu kwenye mahoteli ya wenyewe, na walipoona imekua ngumu wakarejea nyumbani kimya kimya na sasa wanainjoy life tamu kwao Tanzania,Hapo yanawaza kwenda huko kuishi , yakifika huko bado yanafuatilia na TZ

Kwenye vyombo vya habari huwa wanasema ni pesa za ndani kwa 100%, hapa umewaaibisha.Kwa hisani ya watu wa Marekani
1)Wametoa misaada mingi ya AFYA..ikiwemo madawa ya kufubaza mavirusi ya UKIMWI madawa ya UKIMWI.
kusaidia wagonjwa wa UKIMWI kuwapatia dawa za bure
Malaria dawa mseto za malaria vyandarua mpaka kondomu
na misaada mingi ya kibinamu,kielimu,afya na kadhalika..misaada mingi sana..
2)kutujengea matundu ya vyoo mashuleni..watoto wetu waweze kujisaidia vizuri..kwenye matundu ya vyoo
shule za kata..n.k
3) kutujengea mabarabara
Misaada mingi sana sana huwezi kuimaliza kuitaja misaada mingi mingi sana sana KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI kuliko taifa lolote duniani.
Lakini hawa tunaowaita wahisani jumuiya za kimataifa wanapopaza sauti kukemea ukiukwaji wa haki za kibinadamu,kupinga UVUNJAJI wa haki za kibinadamu tunawabadilishia majina kutoka WAHISANI mpaka kuwaita MABEBERU . wanatuingilia mambo yetu ya ndani wanajifanya ni watawala wetu..,kisa tu wanakosoa ukandamizaji na dhuluma za haki za wanadamu wengine.
KAMA hawa WAHISANI au MABEBERU kama mnavyowaita kama wameongea UONGO si wapingwe kwa hoja ,HOJA hupingwa kwa HOJA na TAFITI(Kwa kutumia wasomi wetu tulio nao MAPROFESA)
Kuliko kuwaita majina MABAYA ,kuwaita MABEBERU haitaondoa ushahidi ya HISANI YA WATU WA MAREKANI inayoishi.
Una kubaliana na nani !? Kama una fuatilia comments zangu kwenye thread mbali mbali Mimi ni miongoni mwa watu wanaoipinga USA Kwa matendo yao dhidi ya mataifa ya watu wengine ,Kwa hiyo tunakubaliana kwamba ukiwa muovu na ukiwa na power hakuna matata, upo free kufanya lolote utakalo?
Ona sasa 😅😅🙌Uko bongo ila akili iko nchi za watu , mlaumu mama yako aliyekuzaa usipopapenda
Kwanini wao wana lazimisha kuchukua mali za watanganyika..muarabu ni mshenzi milele daima ndiyo maana wakaletewamtume mpuuzi ili wamfuateUnalazimisha kusaidiwa?