Kwa hisani ya watu wa Marekani(wahisani)

diplomasia mahusiano na jumuiya za kimataifa ,wahisani au mabeberu,yana athiri mpaka wewe,kama huamini , hawa mabeberu tunaowaona SO WHAT ? siku wakikata misaada yao kwetu au wakituwekea vikwazo ,ndio tutajua so what

RAI yangu DIPLOMASIA idumishwe badala ya maneno kama so what,who are you...tunawategemea na kuwahitaji WAHISANI kuliko wao wanavyotutegemea na kutuhitaji...sisi ni masikini tunaowategemea kama huamini kuwa tunawahitaji kuna siku utapata jibu la swali lako la so what
wavivu mna fikra na mawazo ya kimaskini sana aise dah? :KEKLEO:

yaani unacha kufanya kazi kwa bidii na maarifa bila kuchoka wala kukata tama na kujitegemea, unawaza siku ukikosa kusaidiwa itakuaje?:pedroP:

tumia akili kuishi kwa kujitegemea na bila misaada gentleman:WeSmart:
 
okey sawa tutajitegemea wenyewe inji ni tajiri ina
1)BANDARI

2)HIFADHI ZA UTALII,mbuga za wanayama

3)ina GESI,MADINI,MAKAA YA MAWE,MAFUTA ni tajiri

4)ina VIWANDA VINGI

5)INA DOLLAR za kutosha

THITHI ni matajiri

sawa inji hii ni tajiri sana hatuhitaji misaada ya mabeberu,hatuwahitaji jumuiya za kimataifa.
 
Attachments

  • images - 2026-05-27T182859.171.jpeg
    images - 2026-05-27T182859.171.jpeg
    25.8 KB · Views: 8
Hivi kwa mfano waTanzania nao wakiamua kuwawekea akina Trump vikwazo kuingia Nchini kwao kutakuwa na tatizo kwani maana wabunge kulialia hovyo kunakera sana aiseeei.😳🤷🏿‍♂️
NAUNGA MKONO HOJA na sisi tuwawekee vikwazo Marekani,kwanza kiuchumi tuko vizuri kuliko wao,sisi ni matajiri kuliko wao hatuwategemei ila wao ndio wanatugemea sisi na rasilimali zetu.
 
okey sawa tutajitegemea wenyewe inji ni tajiri ina
1)BANDARI

2)HIFADHI ZA UTALII,mbuga za wanayama

3)ina GESI,MADINI,MAKAA YA MAWE,MAFUTA ni tajiri

4)ina VIWANDA VINGI

5)INA DOLLAR za kutosha

THITHI ni matajiri

sawa inji hii ni tajiri sana hatuhitaji misaada ya mabeberu,hatuwahitaji jumuiya za kimataifa.
hakuna haja ya kujieleza na kuorodhesha utajiri wa Tanzania,
kama taifa tuna kila kitu na dunia nzima inajua hivyo,

na ndio maana,
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi, huna haja ya visingizio.

Tuko vizuri kama taifa na tunaelekea pazuri zaidi chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania wote. :pulpTRAVOLTA:
 
Huyo akidakwa tu kidogo genye zote zita muisha

Kwanza hayo maneno hawezi kuyatamka mbele ya mtutu wa Delta force 😄😄

Puppet mkubwa
 
Huyu puppet anaishauri USA Cha kufanya!? 😄😄😄Kwanza nicheke 🙌

Huyu akitiwa mkononi mwa Delta force Hela zote ana zohongwaga na ccm atazitapika, puppet mkubwa
 
Waislamu waarabu awajawahi kutoa hata pipa moja la lami la kujenga barabara...arafu ndiyo tunawaita wawekezaji....kazi yao ni kujenga misikiti tu matako yao
Kama unataka upate misaada ondoa demokrasiaa, weka sheria za kiislamu sio upewe huku unakumbatia sheria za mzungu
 
wavivu mna fikra na mawazo ya kimaskini sana aise dah? :KEKLEO:

yaani unacha kufanya kazi kwa bidii na maarifa bila kuchoka wala kukata tama na kujitegemea, unawaza siku ukikosa kusaidiwa itakuaje?:pedroP:

tumia akili kuishi kwa kujitegemea na bila misaada gentleman:WeSmart:
Wajinga hao
 
Waislamu waarabu awajawahi kutoa hata pipa moja la lami la kujenga barabara...arafu ndiyo tunawaita wawekezaji....kazi yao ni kujenga misikiti tu matako yao
Wewe ni bonge la sengerema, yaani jitu zima ushaona ni haki yako kupewa misaada.
 
diplomasia mahusiano na jumuiya za kimataifa ,wahisani au mabeberu,yana athiri mpaka wewe,kama huamini , hawa mabeberu tunaowaona SO WHAT ? siku wakikata misaada yao kwetu au wakituwekea vikwazo ,ndio tutajua so what

RAI yangu DIPLOMASIA idumishwe badala ya maneno kama so what,who are you...tunawategemea na kuwahitaji WAHISANI kuliko wao wanavyotutegemea na kutuhitaji...sisi ni masikini tunaowategemea kama huamini kuwa tunawahitaji kuna siku utapata jibu la swali lako la so what
Kwa akili hizi , wewe ukiwa Rais kuna mkataba wowote wa hovyo utakaoweza kuukataa kuusaini?
 
Huyu puppet anaishauri USA Cha kufanya!? 😄😄😄Kwanza nicheke 🙌

Huyu akitiwa mkononi mwa Delta force Hela zote ana zohongwaga na ccm atazitapika, puppet mkubwa
Kwa hiyo mkuu ukiwa rais si unapiga bei nchi yote asubuhi na mapema maana hauamini kwamba Tz ni nchi huru na ina uwezo wa kuamua mambo yake kwa namna inayoona inafaa.
 
Back
Top Bottom