Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,724
- 99,584
anatafuta sifa wakati klabu yake ya yanga hovyo kabisa
...hayo maswali yalitakiwa aulizwe ...yeye mwenyewe muhusika mkuu...sijui waandishi walisahau?Vipi kuhusu kujenga uwanja pale Jangwani
Vipi kuhusu kujenga uwanja pale Jangwani
Hapa Tanzania wamama hawana vifaa vya kujifungulia yeye anapeleka pesa nje ya nchi, bure kabisa huyo anatafuta sifa nje ya nchi!
...Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona hii Habari inayomuhusu mwenyekiti wa Yanga .Yusuph Manji...kutaka kuanzisha mashindano maalumu ya Kupambana na EBOLA...na yeye manji atatoa kiasi cha dola 500,000/=
..Kilichonifanya mpk kuleta hii mada hapa nikuwa wazo hilo limepelekwa moja kwa moja ..katika UMOJA WA AFRIKA AU...
...SOURCE..:
....SONDACOM
YUSUF MANJI AONYESHA JEURI YA FEDHA, AMWAGA MILION 900 MBELE YA MARAIS WA AFRIKA
Posted by edward michael On 10:46 PM | No comments
mfanyabiashara Yussuf Manji wiki iliyopita alikuwa sehemu ya msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete uliokwenda Addis Ababa, Ethiopia kwenye Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU).Na akiwa huko, milionea huyo mwenye asili ya Kiasia, ambaye bila ya yeye kwa sasa ‘Yanga haipumui‘ ametoa msaada wa dola za Kimarekani 500,000 kiasi cha Sh. Milioni...
Pesa Za Wale Wachezaji Wa Kenya Ameshamaliza Kuwalipa? Uwanja Wa Yanga Aliowaahidi Upo Wapi? Mrisho Ngassa Sasa Analia Njaa Je Ameshamlipa? Kocha Wa Makipa Pondamali Hajalipwa Mshahara Kwa Miezi 3 Sasa Je Manji Atamlipa Lini? Wachezaji Wa Yanga Wanalala Ghettoni 4 wa 4 Kwa Kukosa Pesa Ya Kodi Je Manji Atawasaidia Lini? Manjia Anawazuga Tu Bali Anawatumieni Ili Ajijenge Zaidi Kisiasa Kwani Mwaka Huu Amejipanga Anataka Kugombea Ubunge Jimbo La Kigamboni Na Yanga Kwake Ndiyo " Stepping Stone ".
Peleka za kwako kwa hao akina mama. Kama huna uwezo wapo watoto wanasoma primary bila ya kuwa na viatu, unaweza kuanza na hao. Viatu kwa mmoja haizidi Tsh. 20,000/= tu ambayo naamini unayo. Ukifanya hivyo, sasa unaweza kumnyooshea Manji kidole. Anza na boliti katika mboni yako kisha utatoa kibanzi katika jicho la Manji.
Ngasa analia njaa kwa ujinga wake mwenyewe, na hilo litakuwa fundisho kwa wajinga wengine,umesahau kuwa viongozi wenu walikula rambirambi ya Mafisango(R.I.P)
Mkuu inaonekana leo hujasuguliwa sawsawa, pole.
Si bora angelitoa msaada pale Muhimbili kununulia dawa na vifaa tiba! Ama angeweza kulipia bima ya afya kwa familia masikini, ama angelinunua madawati kwa shule za Dar ambazo watoto wanakaa chini.
Kweli vipaumbele vinatofautiana!
.....aseee pamoja na mambo yote hayo watu wa kala 5-0Mkuu Umenikumbusha Mbali Na Natokwa Na Machozi Sasa Kwani Huyo Marehemu Alikuwa Ni Kipenzi Changu Na Alikuwa Ni Mtu Wa Watu. Ila Je Na Wewe Umesahau Yanga Walivyomchimbia Mtu Nusu Mchangani Baharini Bagamoyo Wakati Wa Mechi Ya Simba Na Yanga Ile Mliyopigwa 5 - 0 na Tulipowafunga Mkamsahau Baharini Na Maji Yalipojaa Yakamfunika Na Akafariki Na Mkaahidi Kuilinda Familia Yake Lakini Kilichotokea Mpaka Leo Mmeitelekeza Hiyo Familia. Najua Wewe Hujui Jambo Hili Ila Mtafute Mwenyekiti Wako Wa Mashindano Na Maandalizi Wa Yanga Mdau Wangu Mohamed Binda Atakuelezea Vizuri Kwani Masuala Yote Ya Uganga Kwa Timu Ya Yanga Anayaratibu Binda Na Yule Mtunza na Mbeba Jezi Wenu Jamaa Mmoja Hivi Ana Kibyongo.