kwa hili watu wa makampuni mnamaanisha nini?

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
wadau mi kuna jambo huwa linanshangaza sana, utakuta kuna tangazo la kazi limetolewa sehemu na kwa bahati nzuri wanatoa namba ya simu pamoja na email ili kufanikisha zoezi zima la applications.ila sasa baadae kinachojitokeza ni kwamba unaweza ukatuma cv through email then unapewa report kua email HAIPO,kama hilo halitoshi unaweza ukaamua kutaka kutumia zile namba za simu walizoweka ili wakusaidie cha kufanya sasa hapa kuna mawili kama si kuwa HAIPATIKANI au utakuta inaita tu mpaka unachoka mpigaji kwa maana kua HAIPOKELEWI.huu si uungwana ni ujinga km hamjui na sijui hata huwa mnamaanisha nini.
 
dah ishanitokea sana hiyo. Unakuta tangazo na contact unachukua halafu zile contact zinakuwa kama jamaa alivyo elezea hapo, haya mambo hutokea sana na sijui hua wanamaana gani kufanya hivyo. Wajirekebishe
 
Kuna hao barrick nao ndio mitindo yao,unatuma e mail inarud failure notice,nadhani huwa hawana nia ya kutafuta watu labda ni mbinu yakujenga public image tu waonekane kwamba wanaaajiri sana kumbe hamna lolote
 
Back
Top Bottom