GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Nimejisikia Vibaya Sana Kama Siyo Mno Na Kitendo Cha KIPUUZI Kabisa Cha KIULEDI Kilichofanywa Na WAANDISHI Wa HABARI Wa Kitanzania Hasa Wale WALIOKUWEPO Ktk Press Conference Ya Waziri Nape Nnauye Usiku Huu Pale Dodoma Akitoa UFAFANUZI Wa Kilichotokea Bungeni Hadi Kusababisha Mtafaruku.
Kuna Wakati Rais Wetu MSTAAFU ( Sitamtaja ILA Waandishi Wa Habari Mtamkumbuka ) Aliwahi Kuwaambia WAANDISHI Wa HABARI Wa Tanzania Tena Pale JNIA Akiwa Anatoka ULAYA Kuwa Nanukuu " Most Of Journalists In Tanzania Are Very Foolish And I Think They Should Go Back To School To Learn How To Ask Questions ". Na Alifanya Hivyo Baada Ya KUULIZWA Swali La Kitoto Kabisa Na Mwandishi Wa Habari Ambaye Kwa Bahati Nzuri Sana Hata Humu Humu JF Tu Huwa Yupo 24/7 Na Ni MAARUFU Mno ( Kwa Heshima Yake SITOMTAJA ) Ila Kama Atausoma Huu UZI Atajua Kuwa Ni Yeye. Huyu Mwandishi Wakati Huyo Rais Mstaafu Anataka Kuingia Ktk Gari Lake Na Kuondoka Huyu Mwandishi Akamfuata Na Kumuomba Amuulize Swali Ndipo Nakumbuka Kwa Kuheshimiwa Huyu Rais Mstaafu Akamkubalia Na Angalia Swali ALILOMUULIZA Nanukuu " Mheshimiwa Rais Pole Sana Kwa Safari Na Sijui Unaweza Kutuambia Safari Yako Ya Masaa 6 Uliyoianza Kutoka Ulaya Hadi Kufika Hapa Umeionaje! " Mwisho Wa Kunukuu.
Sasa Hiyo Ilikuwa 9 Na 10 Ni Hii Ya Muda Mfupi Tu Huko Mkoani Dodoma Ambapo Waziri Nape Nnauye ALIULIZWA Maswali Ambayo Nitayaweka Hapa Baadhi Kisha Muyaone Je TANZANIA Tuna WAANDISHI WA HABARI WA UHAKIKA KWELI au Tuna " MFANO TU WA WAANDISHI WA HABARI? " Maswali Yenyewe Ni Kama Yafuatavyo:
Karibuni Kwa KULIJADILI Hili ILA Kwa Wale FRIENDS Zangu, FOLLOWERS Wangu Na CRITICS Wangu MLIOTUKUKA Kama Akina Nifah, UncleBen Na Mussolin5 Na Wengineo Wote Kuanzia Tarehe 28 January Mpaka Hapo Nitakapowatangazieni Upya Mabadiliko Mengine Nitakuwa Sasa Napatikana Humu JF Kunzia Saa1Hadi Saa3Asubuhi Kisha Saa12Hadi Saa3Usiku Na Mwisho Kuanzia Saa5Hadi Saa7Usiku. Kama Mnavyojua Kuwa Sasa Nipo Huku Kwenye BARAFU MAMTONI ( Marekani ) Hivyo Muda Mwingi Nakuwa Namsaidia Kazi Za Kisiasa Rais Mtarajiwa Wa Marekani Donald Trump Hivyo Najikuta Muda Wangu Ni Finyu Sana Kuwepo Humu. Nawaombeni Tu Mnivumilie Na Wote Zingatieni KUNAKOTUKUKA Hiyo Mida Yangu Mipya Ya Mimi Kuwepo Humu. Mungu Ibariki Tanzania!

- MHESHIMIWA WAZIRI KAMA SUALA NI KUZUIA WATU WASIPOTEZE UFANISI WA KUFANYA KAZI MAKAZINI KWA KUANGALIA BUNGE MUDA WOTE BASI KWANINI SERIKALI ISIPITE KTK KILA OFISI NA KUONDOA TELEVISION SCREENS ZOTE?
- MHESHIMIWA WAZIRI KAMA UNASEMA SERIKALI INABANA MATUMIZI NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UENDESHAJI HIVI HUU MKUTANO NA SISI UNAOUFANYA SASA UNALIPIWA NA NANI?
- MHESHIMIWA WAZIRI HUONI KAMA TBC1 KUTOONYESHA " LIVE " BUNGE KUTAVIATHIRI NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI KAMA STAR TV, AZAM NA ITV?
- MHESHIMIWA WAZIRI NASIKIA MWAKA JANA MLITENGA KARIBIA SHILINGI BILIONI 6 JE ZILITUMIKAJE?