Kwa Hili wakidhalaurika msiwatetee kabisa!

Tatizo ni Lowassa
LOWASSA Ndio Anafundisha Hao Waandishi Wa HBR "VIHIYO " Au Anamiliki CHUO Kinachotoa Hiyo TAALUMA DHAIFU!!! ILA Mkuu Hilo Sio Kwa Waandishi Wa HBR Tu PEKEE!!!! LIPO Kwa Karibia Woote Wanaojiita Na Kujinasibu Ni WASOMI, Wanaomiliki Utitiri Wa VYETI Makabatini Mwao!! ILA Ktk Vitendo Na Kuitumia TAALUMA Zao Kutekeleza Au Kutimimiza Majukumu Yao!!! NDIO Maswali Ya Aina Hiyo!!!! SASA Kwa Waandishi Wa HBR Tunapata NAFASI Ya KUWASIKIA Na KUONA WAKIFANYA KAZI Zao Wakiwa FIELD!!! HAWA Wengine Hatupati Muda Mwingi Wa Kuwaona Na Kuwasikia!!! MATOKEO Yake Ndio Yale, ALIYETAKIWA Kupasuliwa Mguu AMEPASULIWA KICHWA Na ALIYEPASWA KUPASULIWA KICHWA, AKAPASULIWA MGUU!!!!! HILO La Kudharaulika Kwa WASOMI Wetu Wa KIBONGO, Sio Kwa WAANDISHI WA HBR TU!!! BALI Karibia Wooote, Hasa Wa Kizazi Cha Digital!!!!! SO Tatizo Ni KUBWA Mno!!!!
 
ha ha ha ha paragraph ya mwisho.......... kuna wakati waandishi wa habari wanashindwa kuuliza maswali ya msingi.. na wakati mwingine kutoka nje ya mada .. nadahani ni huko wanapojifunzia kuna tatizo.. pia wapate muda wa kufuatilia waandishe wengine wa nchi tofauti wanavyouliza maswali ...
 
Kuna sababu kadhaa wa kadha kwa mtazamo wangu naamini zinachangia waandishi na Wasomi wa Kitanzania wengi (sio wote) kuwa na hali kama hii ya kushindwa kukidhi matakwa ya kazi husika. Miongoni mwa hayo ni pamoja na
1. Mfumo wetu wa Elimu
Elimu yetu bado tatizo, haimuandai mtu kuwa mwenye akili ya kufikiri na kubuni jambo jipya bali tumekuwa na 'copy and paste ideology'. Ndo maana utaona wasomi na waandishi wetu ni ngumu sana kuja na wazo jipya wala kujiajiri wenyewe.
2. Uvivu wa kutafakari na ugunduzi
Leo ndio maana utaona hata wasomi mabobaezi wanahangaika na siasa na kuifanya siasa ndio kazi. Sasa hata huko kwenye siasa huwezi kumuona huyo msomi mwanasiasa akaja na wazo jipya la kubuni kuisaidia jamii kujikwamua kiuchumi laaa hasha. Hivyo hata huyu mwandishi usitegemee kuwa mbunifu
3. Elimu ya kuungaunga
Bahati mbaya iliyoje utaona baadhi ya fani wengi wetu tumefikia lakini kwa kungaunga na ujanja ujanja mwiiingi. Ukifuatilia hata chuo huko alikosoma course work zake alifanyiwa nk
4. Fani mbadala wa Fani tarajiwa
Kuna kama kasumba imejengeka kuwa mfano mtu wakati anamaliza labda kidato cha sita na malengo yake asomee Udaktari, sasa kutokana na kutokuwa na sifa na alifeli kabisaaaa anaona akimbilie fani za Uandishi wa habari, Ualimu, veta lakini kwa taabu sana kwani msomi wa Kitanzania hataki kufanya kazi isiyohusiana na kalamu na kukaa juani. Kwa hiyo mwandishi kama huyu anaifanya tu kazi hii kwa ajili ya tumbo na sio anaipenda na kuitendea haki fani yake. Na hawa ni hatari sana kwa bahasha za khaki
5. Walimu
Na hawa nao kikwazo. Mwalimu alikuwa failure, anaenda kujificha katika fani hii baada ya kushindwa alichokihitaji. Hivyo hana mbinu wala ubunifu wa kumuandaa mwandishi wa habari atakaekuwa na njaa ya kubuni kuumiza kichwa kutafakari maswali mazuri
6. Uvivu na kutokuwa na hulka ya kujisomea
Kwa sasa elimu inapatikana hata kwa njia za mitandao. Sasa unakuta mwandishi wetu badala hata ya kujisomea au kuangalia mitandaoni na mifano ya waandishi wa habari waliobobea, yeye anahangaika na kuuza sura kwenye instagram, facebook, twitter na nk. Haoni sababu ya kuangalia Hard Talks kama za akina Larry King sijui, maana unakuta hata Kiingereza nacho shida kuelewa. Hivyo tuendelee kuwaamsha tu
Weledi karibuni, nawakilisha
 
Nimejisikia Vibaya Sana Kama Siyo Mno Na Kitendo Cha KIPUUZI Kabisa Cha KIULEDI Kilichofanywa Na WAANDISHI Wa HABARI Wa Kitanzania Hasa Wale WALIOKUWEPO Ktk Press Conference Ya Waziri Nape Nnauye Usiku Huu Pale Dodoma Akitoa UFAFANUZI Wa Kilichotokea Bungeni Hadi Kusababisha Mtafaruku.

Kuna Wakati Rais Wetu MSTAAFU ( Sitamtaja ILA Waandishi Wa Habari Mtamkumbuka ) Aliwahi Kuwaambia WAANDISHI Wa HABARI Wa Tanzania Tena Pale JNIA Akiwa Anatoka ULAYA Kuwa Nanukuu " Most Of Journalists In Tanzania Are Very Foolish And I Think They Should Go Back To School To Learn How To Ask Questions ". Na Alifanya Hivyo Baada Ya KUULIZWA Swali La Kitoto Kabisa Na Mwandishi Wa Habari Ambaye Kwa Bahati Nzuri Sana Hata Humu Humu JF Tu Huwa Yupo 24/7 Na Ni MAARUFU Mno ( Kwa Heshima Yake SITOMTAJA ) Ila Kama Atausoma Huu UZI Atajua Kuwa Ni Yeye. Huyu Mwandishi Wakati Huyo Rais Mstaafu Anataka Kuingia Ktk Gari Lake Na Kuondoka Huyu Mwandishi Akamfuata Na Kumuomba Amuulize Swali Ndipo Nakumbuka Kwa Kuheshimiwa Huyu Rais Mstaafu Akamkubalia Na Angalia Swali ALILOMUULIZA Nanukuu " Mheshimiwa Rais Pole Sana Kwa Safari Na Sijui Unaweza Kutuambia Safari Yako Ya Masaa 6 Uliyoianza Kutoka Ulaya Hadi Kufika Hapa Umeionaje! " Mwisho Wa Kunukuu.

Sasa Hiyo Ilikuwa 9 Na 10 Ni Hii Ya Muda Mfupi Tu Huko Mkoani Dodoma Ambapo Waziri Nape Nnauye ALIULIZWA Maswali Ambayo Nitayaweka Hapa Baadhi Kisha Muyaone Je TANZANIA Tuna WAANDISHI WA HABARI WA UHAKIKA KWELI au Tuna " MFANO TU WA WAANDISHI WA HABARI? " Maswali Yenyewe Ni Kama Yafuatavyo:

  • MHESHIMIWA WAZIRI KAMA SUALA NI KUZUIA WATU WASIPOTEZE UFANISI WA KUFANYA KAZI MAKAZINI KWA KUANGALIA BUNGE MUDA WOTE BASI KWANINI SERIKALI ISIPITE KTK KILA OFISI NA KUONDOA TELEVISION SCREENS ZOTE?
  • MHESHIMIWA WAZIRI KAMA UNASEMA SERIKALI INABANA MATUMIZI NA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UENDESHAJI HIVI HUU MKUTANO NA SISI UNAOUFANYA SASA UNALIPIWA NA NANI?
  • MHESHIMIWA WAZIRI HUONI KAMA TBC1 KUTOONYESHA " LIVE " BUNGE KUTAVIATHIRI NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI KAMA STAR TV, AZAM NA ITV?
  • MHESHIMIWA WAZIRI NASIKIA MWAKA JANA MLITENGA KARIBIA SHILINGI BILIONI 6 JE ZILITUMIKAJE?
Kwa Maswali Hayo MAKUU Naomba Uyapime Halafu UJIULIZE Je Tanzania Tuna Serious Journalists Kweli? Nilikuwa Najiuliza Kwanini WAANDISHI WA HABARI WA KENYA, UGANDA NA RWANDA Achilia Mbali Wa ULAYA Wanawadharau Sana WAANDISHI WETU WA HABARI WA TANZANIA.

Karibuni Kwa KULIJADILI Hili ILA Kwa Wale FRIENDS Zangu, FOLLOWERS Wangu Na CRITICS Wangu MLIOTUKUKA Kama Akina Nifah, UncleBen Na Mussolin5 Na Wengineo Wote Kuanzia Tarehe 28 January Mpaka Hapo Nitakapowatangazieni Upya Mabadiliko Mengine Nitakuwa Sasa Napatikana Humu JF Kunzia Saa1Hadi Saa3Asubuhi Kisha Saa12Hadi Saa3Usiku Na Mwisho Kuanzia Saa5Hadi Saa7Usiku. Kama Mnavyojua Kuwa Sasa Nipo Huku Kwenye BARAFU MAMTONI ( Marekani ) Hivyo Muda Mwingi Nakuwa Namsaidia Kazi Za Kisiasa Rais Mtarajiwa Wa Marekani Donald Trump Hivyo Najikuta Muda Wangu Ni Finyu Sana Kuwepo Humu. Nawaombeni Tu Mnivumilie Na Wote Zingatieni KUNAKOTUKUKA Hiyo Mida Yangu Mipya Ya Mimi Kuwepo Humu. Mungu Ibariki Tanzania!
Si mshukuru Lumumba mna vitu vya kuviandika na kuingiza posho
 
Wasomi wa sasa wanaingia na karatasi za majibu kwenye mtihani. Je uwezo wa kufikiri wataupata wapi wakati hawakuzoea kujifikirisha?
 
walikwenda wakiwa wamekamia kumbomoa lakini kwa weledi wao finyu(kwa baadhi yao)wakajikuta ndio wanamjenga kutokana na maswali ya kitoto waliyokuwa wanauliza.
 
Nadhani hujamuelewa. Mleta mada hapa ana maanisha kuwa Tatizo kubwa la waandishi wetu wa habari hawataki kuumiza akili zao kuuliza maswali ambayo yatamfanya mtu anaejibu kuumiza akili katika kufikiria kuyajibu kiusahihi. Kwa kifupi maswali yao mengi ni mepesi sana na 'too direct' hata mjibuji hapati shida ya kuyajibu inakuwa kama kawaandalia maswali kawapa wayajibu. Vile vile suala la waandishi wanapokuwa na nafasi ya kuwauliza wanasiasa wanaenda kama ni wa upande unaowakilisha 'opponent' badala ya kuwa 'neutral' waweze kujenga hoja zaidi na maswali yenye kuumiza kichwa katika kufikiri kuyajibu.
Kwa mfano, katika mkutano wa Mh. Nape jana nilitegemea waandishi wa habari waulize maswali kama hasa tukianzia suala la gharama
1. Bajeti ya TBC kwa mwaka ni kiasi gani?
2. Kama shirika la umma linapewa ruzuku na serikali? Kama ndiyo ni kiasi gani?
3. Kuna upungufu wa kiasi gani wa hela za kuweka kutangaza matangazo live ya Bunge?
4. Bunge ni moja ya Mihimili inayojitegemea, je kwa suala hili limeandaliwa fungu gani kusaidia shirika hili la umma kuonyesha wazi mijadala ya Bunge? Na kama hakuna, kwa nini isiletwe hoja hii kuwezesha kupata fungu litakalokuwa rasmi kusaidia kuwezesha zoezi la utangazwaji live wa vipindi vya bunge?
Haya ni baadhi tu, ilitakiwa Mh. Nape ajikute anarudi kujiandaa tena kuja na facts zenye ushahidi lakini sio anajibu kisiasa
Weledi wataongeza zaidi
Nimekuelewa mkuu. Sema waandishi wengi hutumia mihemko badala ya weledi. Wanashindwa kuficha hisia zao
 
Haha huu uzi ulinipita ,mimi ningekua mwandishi wa habari nisinge dhalilisha taaluma yangu kumuuliza Nape swali ni bora muda huo wa kuuliza swali nikawafundishe mbwa wangu wadogo hao watanielewa
 
Nadhani hujamuelewa. Mleta mada hapa ana maanisha kuwa Tatizo kubwa la waandishi wetu wa habari hawataki kuumiza akili zao kuuliza maswali ambayo yatamfanya mtu anaejibu kuumiza akili katika kufikiria kuyajibu kiusahihi. Kwa kifupi maswali yao mengi ni mepesi sana na 'too direct' hata mjibuji hapati shida ya kuyajibu inakuwa kama kawaandalia maswali kawapa wayajibu. Vile vile suala la waandishi wanapokuwa na nafasi ya kuwauliza wanasiasa wanaenda kama ni wa upande unaowakilisha 'opponent' badala ya kuwa 'neutral' waweze kujenga hoja zaidi na maswali yenye kuumiza kichwa katika kufikiri kuyajibu.
Kwa mfano, katika mkutano wa Mh. Nape jana nilitegemea waandishi wa habari waulize maswali kama hasa tukianzia suala la gharama
1. Bajeti ya TBC kwa mwaka ni kiasi gani?
2. Kama shirika la umma linapewa ruzuku na serikali? Kama ndiyo ni kiasi gani?
3. Kuna upungufu wa kiasi gani wa hela za kuweka kutangaza matangazo live ya Bunge?
4. Bunge ni moja ya Mihimili inayojitegemea, je kwa suala hili limeandaliwa fungu gani kusaidia shirika hili la umma kuonyesha wazi mijadala ya Bunge? Na kama hakuna, kwa nini isiletwe hoja hii kuwezesha kupata fungu litakalokuwa rasmi kusaidia kuwezesha zoezi la utangazwaji live wa vipindi vya bunge?
Haya ni baadhi tu, ilitakiwa Mh. Nape ajikute anarudi kujiandaa tena kuja na facts zenye ushahidi lakini sio anajibu kisiasa
Weledi wataongeza zaidi
Hiyo ukawa ametumia mwenyewe mleta mada, si neno langu. na ujue waandishi wa habari siku zote kama wanaichallenge serikali lazima watu waone kama wapo upande wa upinzani. Kwa mantiki hiyo wale wa vyombo vya serikali ndio hao ambao hata maswali ya kawaida watashindwa kuuliza mana wanadhani wao kazi yao ni kusifia serikali.

Kuhusu maswali, sijui kwa nini hawakujiandaa kuuliza maswali magumu ila yapo ambayo Nape alishindwa kujibu. mfano aliulizwa kuwa kama sababu mojawapo ya msingi ni kuwazuia wafanyakazi wa serikali wasitazame bunge wakati wa kazi jambo ambalo anadai linazorotesha utendaji, akaulizwa kuwa kwa kuwa gharama za uendeshaji ni miongoni mwa sababu pia, vyombo binafsi vyenye uwezo na nia vitaruhusiwa au vitazuiwa? na kama vitaruhusiwa, haoni kuwa katazo la TBC litakuwa halina maana? Alilikwepa akaongelea vitu vingine. Mwandishi mwingine akliuliza tena baada ya kugundua halijajibiwa, na bado akalikwepa tena!
 
Nikiachilia mbali porojo zako za kunogesha uzi pana jambo la msingi sana umeongea kuhusu weledi wa wana khabari wetu hiki kitabaki kuwa ukweli mchungu kwao kuukubali hongera gentamycine.
 
Elimu, Elimu, Elimu..... Zote za maisha na zile za kwa mama Ndalichako.
 
Mpumbavu unamuliza maswali ya kipumbavu ni principle tu tetetetet
 
Back
Top Bottom