"kwa hili tuungane kwa pamoja" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"kwa hili tuungane kwa pamoja"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by DavidHard, Feb 8, 2012.

 1. DavidHard

  DavidHard JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Jaman wote tuliopata matokeo yet ya form four na kubahatika kushinda na kuendelea na masomo ya advance tuungane leo kumshukuru MUNGU KILA mmoja kwa imani yake.kwani o'level ni daraja kubwa na kulivuka yakupasa umtangulize Mungu mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari.amen.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  duuh hongera oma kwa bidii
   
 3. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Ni kweli inabidi tumshukuru mungu kwasababu mtihani ulikuwa mgumu sana,na wengine matokeo yametuacha na vicheko vya kuvunja mbavu
   
 4. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wow!!..................... hongera sana mdogo wangu!!.................. ulipata div ngapi??................ mi enzi zangu nilijiwekea malengo ya kusoma chuo kikuu tangu nikiwa darasa la pili!!!.................. na leo mimi ni mmoja wa wasomi hapa duniani!!............. licha ya kusoma shule za st. kayumba, nilipiga div one F4 na F6!! ..............na F6 nilikuwa no. 4 kitaifa!!..................... maana yake ni kwamba kama wangechaguliwa wanafunzi wanne tu kujiunga na chuo kikuu mwaka huo, na mimi ningekuwemo.....................!!!.......... zingatia kuwa kupiga div 1 F6 ni kujihakikishia kuwa msomi katika dunia hii!!..................

  we unaniahidi kupiga ngapi F6?.................... weka malengo sasa na uyajumuishe katika maombi yako ya shukrani kwa Mungu............... na utashangaa Mungu atakapojibu maombi yako!!.................. kila la heri......................
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Hivyo unavyoandika naona hata form iv hujafika, wacha kumaliza.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  HONGERA SANA

  you ahve just finished you primary education sir, there are more years to come until you qualify to be recognised
   
 7. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hujambo dada FF??.................... mpe hongera zake mwanao bana, acha kubania!!............. hata hongera ya kibodi tu imekuwa nongwa??....................haya maandishi mwenzio ndo "mganga" wangu aliniambia niwe naandika hivi!!........................ but huyu mganga nilishapanga kumtosa rasmi mwezi july mwaka huu.......................... kuanzia mwezi huo nitakuwa naandika vizuri tu, ondoa shaka.................. tuvute subira shangazi...................
   
 8. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Umeona eeh!
  True that.
   
Loading...