Mpambanaji.com,
Mwambie Rais wako Kiwete atoe tamko kuhusu swala la USHOGA. JKiwete alikuwa pamoja na David Cameron kule kwenye mkutano wakti anatoa masharti hayo kwa Nchi za kiafrika. Mbona hakumwambia blankpoint kama kweli Kiwete anachukia ushoga???Badala yake aliendelea kuchekacheka tu huku David Cameron a.k.a Mzee wa the utamu akimkonyeza! Kama Kiwete ni mwanamme kweli alishindwa nini kumwambia DC kuwa hakubaliani na huo upuuzi wake badala yake kamwachia Waziri wake kihiyo Membe! Upuuzi mtupu. DC kama PM wa Uingereza kaongea kwa niaba ya serikali yake. Kwa hiyo mtu wa saizi yake ni Rais,Makamu wake Bilali au Waziri Mkuu Pinda na siyo Membe.
Wewe subiri siku Kiwete akienda kutembeza bakuli lake kule kwa Mama Malkia kama hajashughulikiwa na DC! Hivi mnafanya mchezo na DC,ukijichekeshachekesha tu anakuramba! Mwambie Rais wenu aache kuchekacheka kama jike maana kina DC watamwumiza!