Mtz-halisi
Member
- Nov 28, 2009
- 47
- 20
Kwa Mtazamo wangu, mawaziri wameonewa. Muhusika mkuu wa matatizo ndiye anapewa majukumu ya kuadibisha wenzake. hapa ndipo sielewi watanzania wanao furahi eti Mkulu msikivu, kama kweli mkulu ni msikivu mimi naona angekuwa wakwanza kuchukua maamuzi ya kujiuzuru.
1. sababu kubwa kuliko zote yeye ndiye mwenyekiti baraza la mawaziri, kwa maana nyingine yeye ndiye msimamizi mkuu, lakini wote hatuoni hilo tumebaki kusifia sifia.
2. Mkulu amekuwa mzurulaji naona hilo nalo ilibidi ajitafakali.
Ngoja tuone hao wanaokuja tuone kama wataweza fanya yaliyowashinda wenzao.