Pamoja na mazingira magumu ya kujifunzia. Unapopata fursa ya kufika chuo kikuu kusomea certificate, diploma au degree, ni vyema kujitahidi upate ufaulu mzuri wa angalau 3.5 GPA na kuendelea kila mwaka wa masomo ili overall gpa ije isome nzuri.
No one knows tomorrow.