kdom
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 238
- 146
Ni ukweli kwamba TCU walibadili vigezo kwa mtu mwenye diploma kujiunga chuo kikuu ambapo kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kujiunga na degree mtu alitakiwa awe na G. P. A Ya 3.5 na kuendelea lakini haikuchukua mda wakarekebisha vigezo kutoka G. P. A ya 3.5 hadi 3.0 and above,kitu ambacho sijakielewa ni kuwa ukichek kwenye tcu guide book 2016 /2017vigezo vya mtu mwenye diploma kujiendeleza inamhitaj awe na G.p.A ya 3.5 kwa course zote tofauti na marekebisho waliyofnya, naomba nieleweshwe kwa wenye uelewa jaman