KWA HILI NDALICHAKO NIMEMUELEWA NA KUMPONGEZA.

Wengi mmejadili suala lankurudisha wanafunzi.Tukumbuke lengo kuu la kupunguza ni kuwa nafasi udsm zimejaa.je,wakirudishwa kuna miundombinu itaandaliwa upya ila kuwawezesha wanafunzi hao kusoma kwa uhakika?
 
Kama lengo ni kuwapunguza hata waziri hatosaidia kulazimisha...watawapunguza kupitia mitihani haitakuwa mara ya kwanza hapo waziri hajatoa solution ila kawatengenezea watu tatizo
 
Viongozi wa nchi hii bado wataendelea kuwa wa hovyohovyo had I mwisho wa dunia..
STOP.....
 
CAS was the best... .
Huwez amini kuna watu hasa wale waliokua wanatemwa first round ndio walikua wanaisema vibaya TCU. Eti walikua wanapangiwa vyuo ambavyo hawakuchagua. CAS kamwe haiwezi kukuchagua chuo usichotaka na wala haina undugu na mtu

Rais alisoma zamani na pengine mfumo wa CAS hakuujua vizuri hivyo aliposikia malalamiko akaamua kutoa maamuzi.
 
Naona kuna vijamaa baada ya kusota sana kwenda UDSM na kukosa nafasi vimetumia thread hii kutema venom zao. Bahati mbaya zaidi akili zao ndo zilikoishia na hasira zao zinawauma hadi kesho, hamjasoma UDSM ndo maana hamjuhi mengi kuhusu UDSM ...nyie endeleeni na ya huko mliko Mzumbe
 
Nadhani haya mambo ya kutoa nafasi awamu nyingine wakati watu wenye vigezo waliomba na wakakosa toka awamu ya kwanza ni kwa sababu ya multiple selections.

Chuo kinachagua watu kwa Idadi kinayotaka lakini yakienda TCU ndio mambo ya multiple selections yanatokea. Na wakati wa kucomfirm watu wanacomfirm vyuo vingine. Hii hupelekea nafasi kubaki wazi. Kwahiyo tusilaumu sana vyuo kwa hili jambo. Wenye ufaulu mkubwa wanawabania nafasi wenzao.

Inabidi tukubali tu kuwa huu mfumo haufai na itakua jambo zuri tukirudi tu Ile system ya CAS. Tatizo mkulu atakubali kuwa alikosea?.
Warudishe ule mfumo wa mwanzo ulikuwa vzuri sana, nimekutana na wanafunzi wanahangaika kweli
 
Unataka kiwe mzumbe? Kila taasisi ina culture yake. Hata kama kuna kadoro Udsm ila kuwaambia wakajifunze mzumbe ni kuwakosea; mzumbe has a lot to learn from Udsm and not the vise versa.
Ww hujamuelewa mtoa mada,sawa udsm wapo poa katika nyanja tofauti lakin kwa hili la kiutawala wanaweza kupata kitu kutoka mzumbe
 
Back
Top Bottom