Kwa hili, nasimama na Yericko Nyerere

Kwa hili, nasimama na Yericko Nyerere

Jamaa akipata tatzo au kufa, kondoo wa kikristo wataanza sema ni nabii

Hawajui kama hatuishi milele na matatzo ni sehemu ya maisha
Kondoo ni wajinga sana , nafikiri 🤔
 
Kuwa na maoni juu ya maoni ya Lema dhidi ya Imani ya mtu fulani ni yale yale mnafanya maana nyinyi mnakuwa na Maoni juu ya Imani yake juu ya imani za wengine ambapo mlikuwa mnabeza asiwe na maoni huku nyie mkiwa na maoni.
 
Lema ni kiongozi wa umma , ndani yake kuna jamii zina imani tofauti.
 
Aendelee kuamini hivyo.
Akifa atakwenda kupokelewa na mizimu yake.
Ila akumbuke KIFO ni Cha mungu.ndiyo amekiumba
 
Hiyo ni imani yake , na kuna maelfu ya imani duniani ukitaoa madai ya kuwa ya kwako ni bora dhidi ya maelfu ya imani thibitisha
 
Jamaa akipata tatzo au kufa, kondoo wa kikristo wataanza sema ni nabii

Hawajui kama hatuishi milele na matatzo ni sehemu ya maisha
Na kama akianzisha biashara ya kuuza mafuta,udongo na maji ya upako,basi Kondoo zitakanyagana kwenda kuwahi kununua ili wapate mafanikio ya kimiujiza bila kufanya kazi.
 
Hiyo ni imani yake , na kuna maelfu ya imani duniani ukitaoa madai ya kuwa ya kwako ni bora dhidi ya maelfu ya imani thibitisha
Imani uchizi hyo.
Hakuna mzimu wowote unaweza kumpa UHAI.wakati yeye kaumbwa na MUNGU.kapewa mapafu na mungu,kapewa moyo na mungu.
Hyo mizimu imempa nini mpaka aseme wao ndo wanamuweka hai?
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Katika mambo ya Imani lazima tuheshimiane na tukubaliane kutokubaliana. Hakuna haja ya kutishana.
Imani ni mapokeo. Tupo na Imani zetu kutokana na waliotukuza/kutulea (social learning theory) by Albert bandura
 
Imani uchizi hyo.
Hakuna mzimu wowote unaweza kumpa UHAI.wakati yeye kaumbwa na MUNGU.kapewa mapafu na mungu,kapewa moyo na mungu.
Hyo mizimu imempa nini mpaka aseme wao ndo wanamuweka hai?
Thibitisha
 
Back
Top Bottom