Kwa hili msamaha upo ? Mambo Hadharani ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili msamaha upo ? Mambo Hadharani !

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, May 31, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mke na Mume wakiwa wamepozi veranda, haya na yale yakiendelea. Mume ambaye ni Mheshimiwa Diwani katika Kata wanayoishi.
  Ghafla Mhe, akamtupia swali la kushtukiza Mkewe, ikawa kama hivi ;-
  > Mhe : Hivi Mke wangu tangu tumeoana umepata kuwahi kutembea nje ya ndoa yetu?
  > Mke : (akiwa ameinama akionesha kutotoa jibu la haraka) Mme wangu mimi nimeshawahi ndiyo lakini.... Lakini...
  > Mhe : Lakini lakini nini ? Malaya wahedi wewe!
  > Mke : Naomba niskize mme wangu nikuuleze, mimi nimefanya hivyo mara 3 !
  Mara ya kwanza kipindi kile umelazwa hosp ikatakiwa ufanyiwe operation, ambapo gharama ya upasuaji ilitakiwa laki 8, pesa ambayo hatukua nayo, na bila upasuaji ule ilikua ufe, bahati nzuri daktari wako aliyekupasua alikua anantongoza tangu umelazwa, mie kwa kupenda uishi , nikafanya nae talks kua nikimpa mara 1 atakupasua bure ndiyo nikampa, na ndiyo maana uko hai hadi leo.
  Mara ya pili kipindi cha ile kesi yako ambayo ingepelekwa Kotini ilikua ufungwe miaka 15 wewe ukiwa korokoroni mimi nikawa nafanya manuva na Polisi kesi iishie pale, OCD akanitaka akanihakikishia nikam'bariki kesi inakufa , nikampa na kweli ukatoka na ndiyo mana leo uko hapa.
  Niishie hapa kwa sasa, Thrade ikiwa ndefu inachosha wasomaji.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  teh,teh....wakati naendelea kusoma napata picha huyo diwani kama vile ni Junior. Cux,ngoja niishie hapa atasema mwenyewe alikua na nan..,teh,teh
   
 3. S

  Skype JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Subiri wachangiaji waje
   
Loading...