Kwa hili, Mh Rais na M/kiti wa chama ulighafirika!

hahahaha unafikiri hata ingelikuwa hao wabunge ni wachadema wakienda kinyume na maagizo ya chama unafikiri wataambiwa nini? mnapenda kutosikia ukweli nyie...huo ndio ukweli wa vyama vyetu....

Ccm wamekuwa wakihujumu mgombea binafsi ili rais awe na maamuzi juu yao. Leo hiyo sheria mbovu imekuwa kichaka cha vyama vyote kuhujumu nguvu za wabunge wao. Dawa ya huu ushenzi ingekuwa ni mgombea binafsi, lakini ccm haitaki kwani inajua mgombea binafsi itakuwa kifo cha ccm kwani hiyo minyororo kwa wabunge itaondoka.
 
wabunge wa kusini wana roho ngumu sana. nchi zingine wangeshabwaga manyanga.kina nape wameanza kula matapishi yao....
 
Watanzania wanaomwelewa huyu mtu hawafiki 10 out of 50 mil!! Hao wanaojifanya kumuelewa wanafanya hivyo kwa maslahi yao, hata wasaidizi wake hawamwelewi kabisa zaid ya kuigiza kuwa wanaelewa. This is completely a national disaster, though watu hawapo tayari kusema ila time will tell...
Huyu ni binadam tu anaeleweka vizuri tu sema ukimtilia maanani hapo ndiyo kabisa huwezi kumwelewa ila ukimchukulia kuwa ni binadam anaeleweka mbona
 
Back
Top Bottom