leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,295
- 1,687
Atakuja kuomba kura ilitumpe inabidi atuombe kwa atutukane ndo tumpe Lakin akitumia lugha ya kustaarabu tutajua maskini akipata
Hata wewe kushindwa kuvumilia hiyo Singe umeghafirika.Kauli yako ya kuwafukuza wabunge au hutishiki na kuyakosa majimbo zaidi ya 17 ya ubunge,ulighafirika!
Kauli ile haikuwa sahihi hata kidogo!Hata kama jambo lile ulikuwa umelipanga chonde ungelifanya kimya kimya.
Kauli ile na ya suala la Mkiti wa chama jirani yao na pundamilia hayakuwa sahihi kufanywa kwa namna ile!
Pamoja na mazuri yote baba M/kiti lakini kuna mambo baadhi unaghafirika. Hujachelewa na mda sahihi ni sasa kuyarekebisha!
Kuku njooni kuna chakula chenu huku.Mlikuwa mmezoea unafiki tu. Awamu ya nne ulikuwa unachekewa lakini moyoni hutakiwi. Mzee MAGUFULI hana hizo. Sio mnafiki na anajulikana tangu enzi za uongozi wake hata kabla ya siasa. Hafichi wala haogopi. Kwa hiyo mtazoea tu. Kwa taarifa yenu watu wa UFIPA watanzania zaidi ya 90% walishamwelewa. Mfano kwenye ziara yake mkoani Simiyu ilikuwa kipindi cha njaa na alisema wakulima waliolima kwa bidii wapandishe bei ya mahindi. Baadhi ya watu mkutanoni wakaanza kusema na kulaumu huyu ni Rais gani. Kilichotokea msimu wa kilimo uliofuata ni balaa. Watu wamevuna mpunga na pamba na viazi haijapata kutokea tangu tupate uhuru.
Hizo ni ishara kwamba watanzania wanamwelewa sana tu
Well said...!!rais wetu ana udhaifu,
ni km binadamu wengine,
kuwaonyesha watu uko in control,
ndio una snap,
mbele ya watu,
kuonyesha jinsi mambo yako on raiti traki,
ukweli ni kuwa Magufuli yuko sensitive,
ndio maana yanayosemwa mtandaoni yanamuumiza,
frustrations alizonazo akipata nafasi ndio anazitoa kimipasho...lol
Mkuu JokaKuu, tatizo la wafuasi wa JPM/Serikali/CCM, wanashindwa kutofautisha kati ya kuwa wazi na kuropoka! Hata ndugu yangu Ruttashobolwa hapo juu inaonesha, inawezekana kwa makusudi kabisa, ameshindwa kutofautisha kati ya kuwa wazi na uropokaji!!!..anataka wabunge wawe WANAFIKI na WAOGA.
..unafiki, uwoga, na kutokusema ukweli kwa wakati ndiyo chanzo cha baadhi ya wabunge wa KANDA YA ZIWA kukaa kimya huku madini toka majimboni kwao yakichotwa na makampuni ya kigeni kupitia MIKATABA YA KIFISADI.
..wabunge hao wamekuja kupata UJASIRI wakati taifa limeshapata hasara na baadhi ya migodi imeanza kufungwa baada ya madini kuisha.
..Jiwe ashindane kwa HOJA na wabunge wa kusini wanaompinga mambo ya kutishana-tishana ni tabia za kizamani.
Cc chige
Mlikuwa mmezoea unafiki tu. Awamu ya nne ulikuwa unachekewa lakini moyoni hutakiwi. Mzee MAGUFULI hana hizo. Sio mnafiki na anajulikana tangu enzi za uongozi wake hata kabla ya siasa. Hafichi wala haogopi. Kwa hiyo mtazoea tu. Kwa taarifa yenu watu wa UFIPA watanzania zaidi ya 90% walishamwelewa. Mfano kwenye ziara yake mkoani Simiyu ilikuwa kipindi cha njaa na alisema wakulima waliolima kwa bidii wapandishe bei ya mahindi. Baadhi ya watu mkutanoni wakaanza kusema na kulaumu huyu ni Rais gani. Kilichotokea msimu wa kilimo uliofuata ni balaa. Watu wamevuna mpunga na pamba na viazi haijapata kutokea tangu tupate uhuru.
Hizo ni ishara kwamba watanzania wanamwelewa sana tu
Watanzania wanaomwelewa huyu mtu hawafiki 10 out of 50 mil!! Hao wanaojifanya kumuelewa wanafanya hivyo kwa maslahi yao, hata wasaidizi wake hawamwelewi kabisa zaid ya kuigiza kuwa wanaelewa. This is completely a national disaster, though watu hawapo tayari kusema ila time will tell...
Hamna frustration hapo
Ni kwamba hamna mtu hapo
Kichaa kabisa
Lakini JPM(JUMA PETER MATHAKO) akumbuke anaongoza tasisi kubwa sana haifai kuleta stress za mkewe au mahawara ikulurais wetu ana udhaifu,
ni km binadamu wengine,
kuwaonyesha watu uko in control,
ndio una snap,
mbele ya watu,
kuonyesha jinsi mambo yako on raiti traki,
ukweli ni kuwa Magufuli yuko sensitive,
ndio maana yanayosemwa mtandaoni yanamuumiza,
frustrations alizonazo akipata nafasi ndio anazitoa kimipasho...lol