Kwa hili Manara unatupeleka pabaya

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,199
Kufuatia mkutano na waandishi wa habari jana,Mkuu wa kitengo cha habari cha simba sports club,Haji manara kutawaliwa na jazba na hasira,na kutoa majibu ya hovyo kwa waandishi hao,kitendo hicho kimeidhalilisha tiny yetu ya simba na kinaweza kupelekea timu ikasusiwa habari zake kuandikwa.hukutakiwa kuwafokea waandishi hata kama hukufurahishwa na maswali yao,badilika kijana
 
Alishasema hatazungumzia mambo ya kiufundi na asingependa kuulizwa maswali yanayohusu mambo ya kiufundi,nashanga siku hizi ashaanza kuwa msemaji wa mambo ya kiufundi
 
Mwanzoni Manara alikuwa anaitendea haki kazi yake. lakini kwa nilivyomsikia jana sijui alikuwa amekula maharage ya wapi vile? Jana nilishindwa kabisa kumtofautisha na Jeri Muro.
 
Na alienda S.Africa kutafuta wachezaji!!
 
Ni ulevi ambao utazaa kususiwa kwa habari nyingi za simba kutoandikwa na kuwanyima wananchi na wapenzi wa soka kwa ujumla kukosa kujua nini kinaendelea ndani ya simba.
 
Mwanzoni Manara alikuwa anaitendea haki kazi yake. lakini kwa nilivyomsikia jana sijui alikuwa amekula maharage ya wapi vile? Jana nilishindwa kabisa kumtofautisha na Jeri Muro.

muro kazidi ukanjanja zaidi
 
Manara anamuiga Muro shida inaanzia hapo ndo mana kila siku anazidi kupoteza, kwanza simba inamaana hawana watu wa scout iweje msemaji wa timu akatafute wachezaji, halafu msemaji huyo huyo anachagua maswali kwani ye si ndo msemaji anataka nani mwngine aisemee club
 
Kufuatia mkutano na waandishi wa habari jana,Mkuu wa kitengo cha habari cha simba sports club,sanday manara kutawaliwa na jazba na hasira,na kutoa majibu ya hovyo kwa waandishi hao,kitendo hicho kimeidhalilisha tiny yetu ya simba na kinaweza kupelekea timu ikasusiwa habari zake kuandikwa.hukutakiwa kuwafokea waandishi hata kama hukufurahishwa na maswali yao,badilika kijana

Ni Hajji Manara na si Sanday Manara.
 
Manara anamuiga Muro shida inaanzia hapo ndo mana kila siku anazidi kupoteza, kwanza simba inamaana hawana watu wa scout iweje msemaji wa timu akatafute wachezaji, halafu msemaji huyo huyo anachagua maswali kwani ye si ndo msemaji anataka nani mwngine aisemee club

Nivizuri uongozi wa juu ukaliangalia hili suara,anaonekana ni mgeni wa hii shughuli,na kwakweli ni ngumu bila kuwa na knowledge ya media.
 
Ndio tatizo la kupeana kazi kwa kujuana,sidhani kama huyu kanjanja anafahamu miiko ya kazi yake. Huyu jamaa nilipomuona hazipo ni pale alipoitisha Press Conference kabla ya match ya round ya pili kati ya Yanga na Azam na kuanza kuwapangia Yanga kikosi cha kuchezesha kana kwamba yeye ndio Kocha wa Yanga
 
huyu jmaa anakurupuka jana nmemckiliza anaonekana kma hajilewi swala lilipo ni mkataba wa Ramadan sasa yy analeta story ndefu ziczo na maana hii simba cjui inaenda wap
 
Mwanzoni Manara alikuwa anaitendea haki kazi yake. lakini kwa nilivyomsikia jana sijui alikuwa amekula maharage ya wapi vile? Jana nilishindwa kabisa kumtofautisha na Jeri Muro.

Wee acha kabisa: Jerry Muro ni bora kuliko Manara, hajawahi kuwafokea waandishi wa habari, yeye na timu yake ya wananchi a.k.a timu ya kimataifa v timu ya mchangani.
 
Kufuatia mkutano na waandishi wa habari jana,Mkuu wa kitengo cha habari cha simba sports club,Haji manara kutawaliwa na jazba na hasira,na kutoa majibu ya hovyo kwa waandishi hao,kitendo hicho kimeidhalilisha tiny yetu ya simba na kinaweza kupelekea timu ikasusiwa habari zake kuandikwa.hukutakiwa kuwafokea waandishi hata kama hukufurahishwa na maswali yao,badilika kijana

Asihukumiwe yupo sahihi,hata mimi ningeongea hivyo
 
Back
Top Bottom