Kwa hili maandamano yameingiliwa

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Siku chache baada ya jamii ya waislamu duniani kote kuandamana kupinga filamu inayomkashifu Mtume, VIDOLE GUMBA navyo vimetishia kuandamana ili vipunguziwe idadi ya meseji vinazoandika kwenye simu kila siku kwani idadi ya meseji za kuchati imekuwa ikiongezeka siku hadi siku kutokana na mitandao mbalimbali ya simu za mkononi kuwa na promosheni ya meseji za bure na hivyo kufanya vidole gumba kukosa muda wa kupumzika
 
mmh! Haichekeshi!

Nyukibaby tatizo siyo thread haichekeshi ila tatizo ni wewe huenda huna bandama kwani ili ucheke vinahitajika angalau vitu viwili
1. Bandama
2. Ubongo wa kutafsiri tukio

Kimojawapo kikifeli tu reply ya aina yako huwa ni very common. Nakushauri ufike hospitali ya mirembe kwa uchunguzi zaidi ili ujue tatizo ni lipi kati ya hayo mawili
 
Back
Top Bottom